Leo nimemfumania live bila chenga

In fact ninyi mko wengi kuliko sisi, wanaume tupo wachache hapo hapo Kuna wengine wanataka kuja upande wenu, sasa ukitaka niwe wako pekee hao wengine atawahudumia nani, ukute pengine wewe ndo upo ktk kundi la wanaosaidiwa
 
Njooo kwangu bi dada ucjali
 
Enjoy to the maximum Furahia maisha na watu uliokaribu
nao
 
Nakupongeza kwa kuamua kuwa mpole, umejiepusha na mengi na umelinda hadhi yako. Sasa jipe muda wa kujipumzisha, hata kwa miezi mitatu we funga moyo wako, baada ya hapo ndio ufungue aingie mwingine!
 
In fact ninyi mko wengi kuliko sisi, wanaume tupo wachache hapo hapo Kuna wengine wanataka kuja upande wenu, sasa ukitaka niwe wako pekee hao wengine atawahudumia nani, ukute pengine wewe ndo upo ktk kundi la wanaosaidiwa

umenijibia kijana,
 
Acha uchoyo naww kizuri kula na ndguyo. Kwan kaimaliza mashine dada wa watu? Si amekunwa kidogo na amekuachia naww?

Wanawake mbona wachoyo mnataka mule peke yenu? Haa!

Ingekuwa wewe nahc ungepiga mtu panga.
 
Kuna siku nilimwambia mdogo wangu, kama hautaki karaha usijihusishe kabisa na mambo ya mahusiano iwe mapenzi au ndoa. Ukiamua tu kuingia kwenye hii tasnia, hayo yategemee japo sio kwa wote. Pole sana

'hii tasnia'......

Hii tasnia hatari sana mkuu, inasumbua sana watu, mbaya zaidi haina kanuni moja inayofaa kwa matatizo yote.
 
Siku Utakayoacha Kuishabikia UKAWA nitafute ili tutengeneze Upendo Wa milele.

Nishachoka kupigana vikumbo na Wewe kule kwenye jukwaa la Siasa..

Mkuu yule wa saudia akijua si itakua msala sasa😇😆
 

hahahahah The Boss hiyo ni chorus malizia na beti kabisa lol
 
Last edited by a moderator:
Pole dada ndio hivyo yameshatokea unaweza kumsamehe au kuachana nae ukisubiri mume mwema kama wapo
 
Napata shida kidogo kujua mahusiano yenu, au ndio yale ya ngoja tuoane.....? ikiwa hivyo name nasema kama alivyosema The Boss.....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…