Leo nimemfumania live bila chenga

Leo nimemfumania live bila chenga

Siku Utakayoacha Kuishabikia UKAWA nitafute ili tutengeneze Upendo Wa milele.

Nishachoka kupigana vikumbo na Wewe kule kwenye jukwaa la Siasa..

jaman ibra kwahiyo UKAWA wameniponza
 
Nakupongeza kwa kuamua kuwa mpole, umejiepusha na mengi na umelinda hadhi yako. Sasa jipe muda wa kujipumzisha, hata kwa miezi mitatu we funga moyo wako, baada ya hapo ndio ufungue aingie mwingine!

asante askari
 
hata ukiwa single utaingia tena kwa mtu mwingine hata part time...we jua mapenzi ni kizunguzungu tuu ndio utakuwa na nafuu
 
* Huwa mna utaratibu wa kupitiana asubuhi.
* Umefika ukagonga mlango, hajafungua.
* Ukasikia jiko la gesi likiwashwa na maji ya kuoga kubandikwa.
* Baada ya dakika 40, ukasikia sauti ya kike.
* Alipofungua mlango , akakutana na macho yako makavu.
* Hakujali, akaendelea zake kuelekea bafuni, wewe ukaingia hadi chumbani kumsalimia mwenza, na kurudi kukaa sebuleni.
* Jamaa kamaliza kuoga, anakuuliza kwanini hujaenda kazini umesimama tu nje (Ulitoka sebuleni saa ngapi sijui)

Na saa kadhaa baada ya fumanizi, ukaja na title "Leo nimemfumania live bila chenga". Hmm!!.

4410876-sherlock+holmes.jpg
 
Ukweli ni kuwa mapenzi ya siku hzi ukiona unampenda jua hupendwi, na anae kupenda wewe huwa humpendi.
So choose to be stressed or to be with some one whom you don't love.[/QUOTE
Like,,,like,,,like. siku hiz huwa sikionagi kiufe cha like hv kimeondolewa??
 
jaman ibra kwahiyo UKAWA wameniponza

nadhani Itakuwa hivyo, Haiwezekani mimi nipo katika msemo wa Hapa kazi tu harafu wewe unagombea jinsi ya Kuzika... Mapenzi ni Ubunifu Mama na niwajibu wako.. Njoo pm kwa Ushauri Zaidi
 
Habari wana MMU,

Nina mpenzi wangu ambaye tuna muda kidogo. Hapa kati niligundua anachepuka baada ya kuona msg kwenye simu yake,nilipomuuliza akakataa katakata na ugomvi juu nkajishusha yakaisha but moyoni mwangu nlikua namchunguza kimya kimya.

Kwa kawaida huwa tunapitiana asbh kwenda kazini kwan ofisi zetu zipo karibu, basi Leo nimeenda kama kawa nikagonga but hakufungua ila nilisikia movement ndani ameamka akawasha gesi na kubandika Maji ya kuoga basi nikajua atafungua mlango, nikaona kimya ila machale yakanicheza nikapanga kukaa nje mpaka nione mwisho, simu zangu nikaweka silent baada ya dk 40 hivi nikasikia sauti ya mwanamke ndani kumbe ndo alikua anamwandalia maji.

Ile kufungua mlango akakutana na macho yangu makavu nikamsalimia nikaingia chumbani nikamsalimia binti nikarudi kukaa sebuleni, bidada akanikaribisha kwa adabu zote nikamwambia apumzike tu asijali, kaka katoka kuoga anajishaua kuniuliza eti kwanini sijaenda kazini nimesimama tu nje m sikumjibu ktu akaingia rum kuvaa mi nimekaa tu sebuleni.

Sikutaka ugomvi kiukweli coz najijua hasira zangu ningechoma mtu kisu bure, basi bidada akavaa nguo huyo akaondoka na akaniaga eti Dada bye nikamwambia ok karibu tena! Alipoondoka nikamuuliza is it me or her akakosa jibu, nikaondoka zangu!

Now msg kibao za maelezo mimi sijajibu hata moja, hivi wanaume kwanini hamtosheki jamani? Bora nibaki single tu kuliko kuleteana magonjwa

Njoo kwangu upate furaha ya moyo..htajuta baby
 
* Huwa mna utaratibu wa kupitiana asubuhi.
* Umefika ukagonga mlango, hajafungua.
* Ukasikia jiko la gesi likiwashwa na maji ya kuoga kubandikwa.
* Baada ya dakika 40, ukasikia sauti ya kike.
* Alipofungua mlango , akakutana na macho yako makavu.
* Hakujali, akaendelea zake kuelekea bafuni, wewe ukaingia hadi chumbani kumsalimia mwenza, na kurudi kukaa sebuleni.
* Jamaa kamaliza kuoga, anakuuliza kwanini hujaenda kazini umesimama tu nje (Ulitoka sebuleni saa ngapi sijui)

Na saa kadhaa baada ya fumanizi, ukaja na title "Leo nimemfumania live bila chenga". Hmm!!.

4410876-sherlock+holmes.jpg
aliuliza why nilikua nimesimama tu nje muda wote huo, hivi kufumania ni mpk ukute dyudyu imeingia?nmeingia ndani nkamkuta bint yupo naked
 
Pole sana, Fanya yako ila km hutaki mapenzi yako yapotee hiv hiv, komaaa tu IPO siku ataacha na kukuheshim
 
aliuliza why nilikua nimesimama tu nje muda wote huo, hivi kufumania ni mpk ukute dyudyu imeingia?nmeingia ndani nkamkuta bint yupo naked
Kwahiyo jamaa alifungua mlango, akakutana na macho makavu, akaenda kuoga na kukuacha ukiingia ndani kuonana na mwenzio, alivyomaliza ndio akaanza "kujishaua"? I'm too retarded to buy.
 
kumbe ulienda na kisu kabisa
Habari wana MMU,

Nina mpenzi wangu ambaye tuna muda kidogo. Hapa kati niligundua anachepuka baada ya kuona msg kwenye simu yake,nilipomuuliza akakataa katakata na ugomvi juu nkajishusha yakaisha but moyoni mwangu nlikua namchunguza kimya kimya.

Kwa kawaida huwa tunapitiana asbh kwenda kazini kwan ofisi zetu zipo karibu, basi Leo nimeenda kama kawa nikagonga but hakufungua ila nilisikia movement ndani ameamka akawasha gesi na kubandika Maji ya kuoga basi nikajua atafungua mlango, nikaona kimya ila machale yakanicheza nikapanga kukaa nje mpaka nione mwisho, simu zangu nikaweka silent baada ya dk 40 hivi nikasikia sauti ya mwanamke ndani kumbe ndo alikua anamwandalia maji.

Ile kufungua mlango akakutana na macho yangu makavu nikamsalimia nikaingia chumbani nikamsalimia binti nikarudi kukaa sebuleni, bidada akanikaribisha kwa adabu zote nikamwambia apumzike tu asijali, kaka katoka kuoga anajishaua kuniuliza eti kwanini sijaenda kazini nimesimama tu nje m sikumjibu ktu akaingia rum kuvaa mi nimekaa tu sebuleni.

Sikutaka ugomvi kiukweli coz najijua hasira zangu ningechoma mtu kisu bure, basi bidada akavaa nguo huyo akaondoka na akaniaga eti Dada bye nikamwambia ok karibu tena! Alipoondoka nikamuuliza is it me or her akakosa jibu, nikaondoka zangu!

Now msg kibao za maelezo mimi sijajibu hata moja, hivi wanaume kwanini hamtosheki jamani? Bora nibaki single tu kuliko kuleteana magonjwa
 
Acha uchoyo naww kizuri kula na ndguyo. Kwan kaimaliza mashine dada wa watu? Si amekunwa kidogo na amekuachia naww?

Wanawake mbona wachoyo mnataka mule peke yenu? Haa!

Mkeo angefanyiwa hivyo ungethubutu kusema hivyo mkuu?
 
Kazi ya moyo ni kusukuma damu, kupenda ni ulimbukeni wako!
 
Back
Top Bottom