mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Ukimchoka mwanamke kuna njia nyingi za kumuacha, hii imefanikiwa.
Hanaga mambo mengi, ye akifika gheto huwa ni kuparamia kila kinacholiwa ndio mambo mengine yaendelee.
Last time aliparamia kila kilichokuwa mbele yake kama msukule, mimi huwa sipendi kumsimanga mtu kuhusu vyakula ila niliona kazima nimkomeshe, asubuhi nimeweka haja ndogo kwenye kopo la grand malt nikijua leo anakuja.
Kama niliota, alivyokuja tu akaparamia grand malt yangu chapa haja ndogo akapiga funda moja, sekunde nyingi akaicheua na kukunja uso kama amemeza shubiri. Haja ndogo ya mtu mzima sio mchezo.
Nilitaka kucheka ila nikakausha tu, mission possible. Haya yote ni sababu last time alibugia pombe yangu kama kunikomoa.
Mlevi mlie chakula chake ila sio kuchezea pombe yake.