Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Lbd umekutana na poyoyo.Hawezi kurudi so siwezi kunywa damu zake za hedhi
Kah ila watu.Ukimchoka mwanamke kuna njia nyingi za kumuacha,hii imefanikiwa
Hanaga mambo mengi ye
akifika gheto huwa ni kuparamia kila kinacholiwa ndio mambo mengine yaendelee
Last time aliparamia kila kilichokuwa mbele yake kama msukule,mimi huwa sipendi kumsimanga mtu kuhusu vyakula ila niliona kazima nimkomeshe, asubuhi nimekojoa kwenye kopo la grand malt nikijua leo anakuja.
Kama niliota,alivyokuja tu akaparamia grand malt yangu chapa mkojo akapiga funda moja,sekunde nyingi akaicheua na kukunja uso kama amemeza shubiri.
Mkojo wa mtu mzima sio mchezo
Nilitaka kucheka ila nikakausha tu,mission possible
Haya yote ni sababu last time alibugia pombe yangu kama kunikomoa
Mlevi mlie chakula chake ila sio kuchezea pombe yake
🤣🤣🤣🤣Nipe dada yako utapata jibu
Yaani akija huwa hapiki,afanyi chochote,simsimangii misosi ila pombe yangu inaniuma sana,wewe mtu anapiga dompo peke yake huko ni kukomoana tu,ingekuwa misosi wala nisingemzinguaAcha uchoyo,,usikute anawaza ninafurahi Sana nikienda nyumbani kwa....Kuna vitu vidogo vidogo vya kula ...wakati mwingine ukisikia anakuja andaa chips kula kidogo au kuku mzima jifanye umegusagusa alafu umeacha....hivyo ndio vinavyonogesha mspenzi mwingine anapenda kuokota okota vichenji vya kwenye droo...meingune anapenda movies ...zaidi ni Uhuru ...kumbe we unamuwazia vibaya mwenzio...
Ushauri muoe maisha ya ndoa ni Bora kuliko uzinzi
Kama umemchoka mtu siunamwambia tu, unashindwa kumueleza unachotaka umekuwa mwanamke uwaze kujivictimize. Maturity na masculinity traits bado hazijakomaa au kukua akilini mwakoUkimchoka mwanamke kuna njia nyingi za kumuacha, hii imefanikiwa.
Hanaga mambo mengi, ye akifika gheto huwa ni kuparamia kila kinacholiwa ndio mambo mengine yaendelee.
Last time aliparamia kila kilichokuwa mbele yake kama msukule, mimi huwa sipendi kumsimanga mtu kuhusu vyakula ila niliona kazima nimkomeshe, asubuhi nimeweka haja ndogo kwenye kopo la grand malt nikijua leo anakuja.
Kama niliota, alivyokuja tu akaparamia grand malt yangu chapa haja ndogo akapiga funda moja, sekunde nyingi akaicheua na kukunja uso kama amemeza shubiri. Haja ndogo ya mtu mzima sio mchezo.
Nilitaka kucheka ila nikakausha tu, mission possible. Haya yote ni sababu last time alibugia pombe yangu kama kunikomoa.
Mlevi mlie chakula chake ila sio kuchezea pombe yake.
Hivi si ulisema karibia unastaafu ndugu ?Ukimchoka mwanamke kuna njia nyingi za kumuacha, hii imefanikiwa.