Leo nimemnywesha haja ndogo shemeji yenu mpenda kula

Kah ila watu.
 
Mtu kabugia kojo😂,
Punguza uchoyo
 
[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Daah! Yani kisa pombe tuu unamnyesha binadamu mwenzako mkojo?
 
Acha uchoyo,,usikute anawaza ninafurahi Sana nikienda nyumbani kwa....Kuna vitu vidogo vidogo vya kula ...wakati mwingine ukisikia anakuja andaa chips kula kidogo au kuku mzima jifanye umegusagusa alafu umeacha....hivyo ndio vinavyonogesha mapenzi mwingine anapenda kuokota okota vichenji vya kwenye droo...mwingine anapenda movies ...zaidi ni Uhuru ...kumbe we unamuwazia vibaya mwenzio...
Ushauri muoe maisha ya ndoa ni Bora kuliko uzinzi
 
Yaani akija huwa hapiki,afanyi chochote,simsimangii misosi ila pombe yangu inaniuma sana,wewe mtu anapiga dompo peke yake huko ni kukomoana tu,ingekuwa misosi wala nisingemzingua
 
Kama umemchoka mtu siunamwambia tu, unashindwa kumueleza unachotaka umekuwa mwanamke uwaze kujivictimize. Maturity na masculinity traits bado hazijakomaa au kukua akilini mwako
 
Hivi si ulisema karibia unastaafu ndugu ?

Kweli wewe ni kibabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…