Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Cheka Sana, furahi Sana ila omba yasikukute.😂😂😂😂😂😂nimecheka sana
Niongezee sauti au inatoshaa
Nimemfukuza kwa sababu ya ubinafsi wa kishamba. Chakula hanunui yeye, ubaguzi wa Nini?Mmeachana? Sawa Sawa
Elewa basi, Ni mpenzi tu. Mtoto nilimkuta nayeHuyo mwanaye ni mtoto wako au ulioa singo mama
Heee😂Wewe una harakati za pimbi 🤣
Kwanini mkuuWewe una harakati za pimbi 🤣
Sasa ndo unanifokea.? Tulia hapo hapo kwa singo mama wako na umuoe ili matukio yawe bam bamElewa basi, Ni mpenzi tu. Mtoto nilimkuta naye
Wonders shall never end. Ndio hii . HhaHuyu dada nilikuwa nampenda Sana na kwa muonekano alikuwa ni wife material.
Licha ya kuwa nilimpenda na nimekuwa natoa hela ya matumizi Ila akawa ananipikia ugali na mboga za majani, yeye na mwanaye wanakaanga ndizi, viazi ulaya na nyama wanaweka na kachumbari. Siku akinipikia wali nyama, wao wanakula wali nyama na matunda/ juice. Yaani Ni lazima aweke utofauti kwenye mlo wangu na wa kwao. Nimemuonya mara nyingi aache ubaguzi maana hela ya chakula siyo yake iweje wananibagua? Lakini hakusikia
Nikaona niwafukuze tu
Tumezozana usiku wa kuamkia Leo hataki kutoa vitu nje lakini nimemshinda.
Kumbe mtoto ulimkuta naye .Elewa basi, Ni mpenzi tu. Mtoto nilimkuta naye
Kila siku una mwanamke mpya na haudumu naye mnaachanaKwanini mkuu
Weka ushahidi Hapa🙄Kila siku una mwanamke mpya na haudumu naye mnaachana
Hapana aiseeSasa ndo unanifokea.? Tulia hapo hapo kwa singo mama wako na umuoe ili matukio yawe bam bam