Leo nimemuacha mpenzi wangu rasmi

Leo nimemuacha mpenzi wangu rasmi

Huyu dada nilikuwa nampenda Sana na kwa muonekano alikuwa ni wife material.

Licha ya kuwa nilimpenda na nimekuwa natoa hela ya matumizi Ila akawa ananipikia ugali na mboga za majani, yeye na mwanaye wanakaanga ndizi, viazi ulaya na nyama wanaweka na kachumbari. Siku akinipikia wali nyama, wao wanakula wali nyama na matunda/ juice. Yaani Ni lazima aweke utofauti kwenye mlo wangu na wa kwao. Nimemuonya mara nyingi aache ubaguzi maana hela ya chakula siyo yake iweje wananibagua? Lakini hakusikia

Nikaona niwafukuze tu

Tumezozana usiku wa kuamkia Leo hataki kutoa vitu nje lakini nimemshinda.
Huyo mke atakuwa ni???!
 
Pole, huyo mtoto umezaa naye au alikuja naye kutoka kwa mwanaume mwingine
 
Back
Top Bottom