Leo nimemzaba vibao kaka wa kazini

Hapo Masaki kwq bahresa nini?
 
Ungeli msikiliza boss na kumshauri tutaongea vizuri ofisi, mpigie mwambie samahani nilikuwa kwenye ukichaa wangu ndiyo maana sikutaka kupokea simu labda ningeli kuudhi.

Kila mtu ni kichaa na ukichaa humfika endapo atachukia sanaa
 
Huyu hayupo huko ni umbea tu unamsumbua
Haufahamu tu.

Katika mbinu za kukupata kuna njia nyingi zisizopendeza, zikiwemo: 'chuki', 'vitisho', 'ubabe', 'umbea', 'majungu', 'uchawi', 'ugomvi', 'kesi' nk nk.

Njia uliyoizoea wewe kutongozewa ni ile ya maneno laini laini pamoja na mhusika kuhonga pakubwa na yeye kula padogo basi, tongoza ya fitina haujawahi iona ama kufanyiwa!

Nikwambie, hizo mbinu za rafu ndiyo mara nyingi zinasaidia kuwanasa wanawake.

Mimi mamsapu niliyenaye nilimnasa kwa vitisho vya kujifanya mimi mchawi, akaogopa nikampata.

Hizo ni mbinu tu, akishakupata mambo yanakuwa ni byee.

Huyo boss unayedhani alipelekewa mashitaka kama atakuwa na busara, utaona maamuzi yake namna atakavyomkandamiza jamaa na kukupatia ushindi wewe.

Utake usitake ni lazima ushinde kwenye kesi hii hata kama makosa yako yataonekana dhahiri kwenye maelezo yako, maana yake ni kesi ya kutongozana hiyo.
 
Huyo uliye mpga ni jamii ya kina juma lokole, unampga anakujibu jomon!

Ingekuwa ni mim ndani ya sekund 1 upo kwenye Kona unajifuta damu.
 
Leo ndio nimejua kwamba wewe ni Ke.
Anywas......
Kwetu huku moja kati ya sheria za kazi ni......ukipigwa/ukipiga ama mkipigana na ikathibitika ni wote mnafukuza kazi na hakuna mjadala wala msamaha kwenye hilo.
hao ni vibarua tu.hilo kosa moja kwa moja unaitwa hr mkamalizane
 
Unipangie kitu ninacho kijua na kipi kwenye mikataba wazi kabisa kwamba ukipiga/pigwa ama kupigana ndani ya eneo la kazi unafukuzwa.
Ngoja nikupe mfano, kuna jamaa alikua OHSE manager, alipigana na Dr lfani.
Mwisho wote walifukuzwa.
Kuna levo za kufukuzwa kazi bro Ushimen

Imagine HR kapigana na mtunza garden ya ofisi, unadhani wote watafukuzwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…