uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,679
- 4,283
Unakataa?Mh? Wee jamaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakataa?Mh? Wee jamaa!
Mkuu kwa lugha hii tusije kufikiri kuwa ni wewe uliyepewa kibano na kupigwa vibao!😀😀Sasa janamke la chuga la kazi gani!?..nene,levi,kiuno kigumu,kusafisha naniliu halijui
Hapo Masaki kwq bahresa nini?Huyu kaka alikua ananichukuli poa sana. Mnoko mnoko anapenda kunifatilia mambo yangu hata kama hayahusiani na kazi anaingiza pua yake kwenye mambo private. Kila wiki ananiripoti kwa bosi kwa vitu vya uongo.
Sasa leo aligonga kubaya nikapatwa na hasira ghafla. Unajua madem wa chuga hatunaga pampa pampa.
Nilisimama nikamkunja nikamuingiza kwa kwapa akawa hafulukuti nikamtia vibao viwili vitakatifu halafu nikamwambia nenda kaseme kwa bosi wako.
Nikachukua begi langu nikasepa home. Bosi amenipigia simu zaidi ya mara nne sijapokea. Saa hizi ameniandikia meseji akinisihi nipokee simu ana mazungumzo na mimi. Nimemjibu tutaongea kesho ofisini.
Hata kama nitakua nimenyea ugali wangu ila najipongeza kumpa adabu huyu kaka wa hovyo! Naona sasa atakua na adabu na atakaa mbali na mimi! Sipendagi mazoea ya kiufisadi na kimbea mbea mie!!
WaalaaMkuu kwa lugha hii tusije kufikiri kuwa ni wewe uliyepewa kibano na kupigwa vibao!😀😀
Ungeli msikiliza boss na kumshauri tutaongea vizuri ofisi, mpigie mwambie samahani nilikuwa kwenye ukichaa wangu ndiyo maana sikutaka kupokea simu labda ningeli kuudhi.Huyu kaka alikua ananichukuli poa sana. Mnoko mnoko anapenda kunifatilia mambo yangu hata kama hayahusiani na kazi anaingiza pua yake kwenye mambo private. Kila wiki ananiripoti kwa bosi kwa vitu vya uongo.
Sasa leo aligonga kubaya nikapatwa na hasira ghafla. Unajua madem wa chuga hatunaga pampa pampa.
Nilisimama nikamkunja nikamuingiza kwa kwapa akawa hafulukuti nikamtia vibao viwili vitakatifu halafu nikamwambia nenda kaseme kwa bosi wako.
Nikachukua begi langu nikasepa home. Bosi amenipigia simu zaidi ya mara nne sijapokea. Saa hizi ameniandikia meseji akinisihi nipokee simu ana mazungumzo na mimi. Nimemjibu tutaongea kesho ofisini.
Hata kama nitakua nimenyea ugali wangu ila najipongeza kumpa adabu huyu kaka wa hovyo! Naona sasa atakua na adabu na atakaa mbali na mimi! Sipendagi mazoea ya kiufisadi na kimbea mbea mie!!
Haufahamu tu.Huyu hayupo huko ni umbea tu unamsumbua
😅🤣😂 Kofi limefanya nimebubujikwa na machoji Kama Lucas mwashambwa.Lile kofi Lauma dada j nimelia sana
Afu umeileta humukimbea mbea mie!!
hao ni vibarua tu.hilo kosa moja kwa moja unaitwa hr mkamalizaneLeo ndio nimejua kwamba wewe ni Ke.
Anywas......
Kwetu huku moja kati ya sheria za kazi ni......ukipigwa/ukipiga ama mkipigana na ikathibitika ni wote mnafukuza kazi na hakuna mjadala wala msamaha kwenye hilo.
Kwani yesu hawezi kunipa kazi mbona umepanic? Nimekwambia nitafutie kazi kwa yesu unanuna!!kama unafanyia mzaha Jina la Yesu, basi ukae hivyo hivyo bila kazi ya maana hadi akili ikukae sawa.
Kuna levo za kufukuzwa kazi bro Ushimen
Imagine HR kapigana na mtunza garden ya ofisi, unadhani wote watafukuzwa?