venchwa
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 2,222
- 3,160
Nikafunga safari baada ya kupata likizo nikaja Brisbane airport kuingia queens land aisee (ila kuingia Australia ni pagumu kama hujajipanga kwa maelezo airport, itakuwa topic ya siku nyingine)
Nikafika hotel moja maarufu sitataja Jina, nikakuta mademu wakali tu
Nikaanza ku move around ili muda wangu usiishe nikiwa sijajua maeneo!
Nikaenda club moja inaitwa WAKANDA CLUB ina waafrika kibao!
Nikaingia mwonekano Wangu ulivyokuwa au ulivyo
1. Mweusi
2. Mrefu
3. Nisiwadanganye mi natupia sana raba yaan navaa Niwe mkweli, na unyunyu kwa mbaali, T shirt Gucci yenyewe !!!
Sasa nilipoingia hapo club Nikaona mademu wanne wakaniangalia nikawapotezea kwamba hawa malaya wa hapa tu!
Wakamlipa security man 100 Australia dollar kwamba wanataka nihamie kwenye meza yao! Nikasema waje hapa kwanza mwanaume kuitwa kwenye meza ya demu ni dharau !
Mmoja akasogea, akaanza kunywa bia huku bi zinaweka kwenye tower unalipia zinakuwamo kama jagi 2 au 3, tukaongeza tower moja! Demu akasema hapana ngoja ninunue mimi! Nikasema Sawa !
Shughuli ikaanza Kuna wadada weusi wakaja mi nikawasalimia onhooooooo tatizo lilianzia hapo,
Wakatoka nje kwa hasira nikatoka nje na hawa mademu Kumbe midemu Hii mizungu ikawa na wivu! Imelipa mtu wa piki piki atugonge aiseee wamempa 1000 Australia dollar atugonge alafu Tatizo mi sikujua nini !
Jamaa muendesha pikipiki akaja kwa nguvu nikakwepa Japo nimeanguka na kuumia Mkono!
Kesho nirudi zangu Singapore aiseee!
Mademu wajinga sana na wivu wa kijinga
Ila ntaeleza vema baadae ngoja maumivu yapungue