nyboma
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 2,308
- 7,366
Nikikumbuka nilivyowindwa na yule mstaafu na jinsi Baba yangu mkubwa alivyoingilia kati kunisuru na leo nipo hapa nimesalimia nae.
Hakika kama siku ya kifo haijafika haijafika tu.
Mwisho kabisa mke wa mtu ni SUMU ingekuwa ndio zama za sasa ningekuwa nimefukiwa ardhini.
Nasisitiza tuwe makini na wake za watu, anaweza kukupenda mwenyewe kumbe ndio anakuandilia njia ya kwenda kumbusu miguu shetani kuzimu.