Leo nimeonana na mchepuko wangu wa ujana Chato

Leo nimeonana na mchepuko wangu wa ujana Chato

Ma~Story Ya Town
Nakumbuka Hata Usaili Wa PCCB Dodoma Ulikukutanisha Na Haya Haya
 
Pole sana...
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Ma~Story Ya Town
Nakumbuka Hata Usaili Wa PCCB Dodoma Ulikukutanisha Na Haya Haya
Boss tangu lini mbo…ro ikasalimu amri ila ukirudi kwa wenzetu utelezi wote hakuna hivyo hakuna utamu tena.

Uliona wapi dume la ng’ombe linachoka kupanda mtamba
 
Anko chochote unachofanya usimkopeshe pesa. Mwaka 2017 nilikutana na ex akaniomba nimkopeshe pesa aisee ni mpaka leo sijalipwa
Hahahaaaa ilikua mazingira gani hadi ukampa...au ulitaka upashe kiporo bure
 
Anko chochote unachofanya usimkopeshe pesa. Mwaka 2017 nilikutana na ex akaniomba nimkopeshe pesa aisee ni mpaka leo sijalipwa
Mwanamke akopeshi anapewa mpwa, kuna huyu mmoja kang’ang’ania nilipie kodi ya mwaka nimelipa ya miezi mitatu.

Tatizo lao ukilipa vijana wanaobalehe sasa wanaenda kujilia tunda bure kabisa, ila hakuna namna labda tulipe jukumu la kusomesha ndio niligoma kabisa kwa huyu mchepuko kutoka kaskazini.
 
Hahahaaaa ilikua mazingira gani hadi ukampa...au ulitaka upashe kiporo bure
Hata haikua kupasha kiporo.

Tumekutana mtaa tuliokulia.

Tukapiga stori kadhaa kesho akanifuata akaniambia mumewe (wanaishi mkoa mwingine) anadaiwa na anataka kupelekwa polisi nimsaidie ili aondokane na aibu.

Kwakua yeye na mumewe ni waajiriwa nikaona siyo tatizo nikamkopesha.

Aisee ni mpaka leo
 
Hata haikua kupasha kiporo.

Tumekutana mtaa tuliokulia. Tukapiga stori kadhaa kesho akanifuata akaniambia mumewe (wanaishi mkoa mwingine) anadaiwa na anataka kupelekwa polisi nimsaidie ili aondokane na aibu.

Kwakua yeye na mumewe ni waajiriwa nikaona siyo tatizo nikamkopesha. Aisee ni mpaka leo
Atakulipa,huenda amekwama bado
 
Back
Top Bottom