Leo nimeonana na mchepuko wangu wa ujana Chato

Leo nimeonana na mchepuko wangu wa ujana Chato

Hata haikua kupasha kiporo.

Tumekutana mtaa tuliokulia. Tukapiga stori kadhaa kesho akanifuata akaniambia mumewe (wanaishi mkoa mwingine) anadaiwa na anataka kupelekwa polisi nimsaidie ili aondokane na aibu.

Kwakua yeye na mumewe ni waajiriwa nikaona siyo tatizo nikamkopesha. Aisee ni mpaka leo
Je kabla ya kumkopesha ulimtaarifu Mumewe,au ulitoa pesa kwa siri!?

Kama ulitoa bila kumtaarifu Mumewe hiyo hesabu imekula kwako!!
 
Ndugu ilikuwa nife, haww wake wa wakubwa ni wa kuogopwa?

Ilinibidi nipotee jijini dar es salaam kwa miaka kadhaa bila baba mkubwa wangu ilikuwa niende na maji.
Asee
 
Back
Top Bottom