Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
inawezekana waliokupeleka huko kuna kitu wanakitafuta kwako ili wakati ukifika wakuinue.
Fanya kazi kwa bidii, onyesha kwanini umesoma na kufanya kile kinachotakiwa na waliokupeleka huko na ikibidi ufanye ziada.
Tumia muda wako vizuri, fanya ibada, jiongezee maarifa na kiu ya kuinuka hapo ulipo, InshaAllah Mwenyezi Mungu atakufanyia wepesi.
Nina mengi yakukueleza, lakini naomba niishie hapo..