Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Nimeupokea ushauri wakoinawezekana waliokupeleka huko kuna kitu wanakitafuta kwako ili wakati ukifika wakuinue.
Fanya kazi kwa bidii, onyesha kwanini umesoma na kufanya kile kinachotakiwa na waliokupeleka huko na ikibidi ufanye ziada.
Tumia muda wako vizuri, fanya ibada, jiongezee maarifa na kiu ya kuinuka hapo ulipo, InshaAllah Mwenyezi Mungu atakufanyia wepesi.
Nina mengi yakukueleza, lakini naomba niishie hapo..
ahsante mkuuMkuu utazoea hiyo 600k itumie vizuri Sana usinywe pombe sigara wala bangi unga na Michele nunua sehemu salama
Matajiri fursa hiyo ya machinemkuu kwenda kusaga unga tu ni takriban km 17 mpaka mashineni
wachangamkieMatajiri fursa hiyo ya machine
Voda huna?UNALIPA BAADA YA KUPATA HUDUMA (T!GΓ³)
1. 5GB+5MB KWA SH.7500
2. 6GB+500MB KWA SH. 8500
3. 8GB KWA SH.10000
4. T!GΓ³ PΓ³sTPA!D (GB15, GB35, gb48,GB72)
UNAHITAJI KIFURUSH KIPI HAPO?
Nicheki 0717700921
Kumbe afadhali hata mimi muuza majenezausishangae ndio mishahara ya wengi wetu
Safi heri wamekupeleka huko kijijini huko ndiko fani Yakoagronomist
Fursa hiyo itumie kakope nunua mashinemkuu kwenda kusaga unga tu ni takriban km 17 mpaka mashineni
Unatoa pole ya Nini maisha popote Watanzania kuwa maskini sababu mojawapo ni kuwa rigid .Ndio maana wahindi na waarabu waamini maisha popote wanatupiga bao Kila sikuPole sana mkuu
ahsante chiefPole sana mkuu
kuna wahindi umewaona simiu?Unatoa pole ya Nini maisha popote Watanzania kuwa maskini sababu mojawapo ni kuwa rigid .Ndio maana wahindi na waarabu waamini maisha popote wanatupiga bao Kila siku
Wapo Wana vituo vya mafuta na maloli ya mafuta hubeba mafuta waarabu lake oil wapo na akina Warji wahindi wenye Petro stations na Malori ya mafuta wapo Simiyukuna wahindi umewaona simiu?
na wenye wake wanaofanya kazi, kukaa mbali na mke wakati hafanyi kaxi ni ujingaMishahara itakutana kama huna familia, kuna unayo familia bill za Mangi zinakufuata hukohuko kijijini.
Ni hatari sana kwa mtu mwenyewe familia Dar halafu kazi kijijini, Kipato inabidi ukigawe Mara mbili, hii inawalipa wenye mishahara mikubwa.
ahsante mkuuFanya nawe ufugaji. Ufugaji hasara yake ni ukame wa nyasi. Fanya kununua ndama wakuze uza kwa wauza nyama.
Fuga mbuzi , tafuta mbegu bora ya mapacha. Kama ni singida fuga na kuku huwa wanastawi saba.
Usianze kuwaza habari za Dar umeisha waaaga mtaonana mungu akipenda ila ukiwekeza kule ni soko na connection unayo.
Usipoteze mda kupa DIS bush.
Kama ni fertile land usisahau kununua ardhi. Kama kuna pandwa miti ya mbao au matunda panda walau miti 200 ya matunda.
Watu wengi waliotoka mjini kuja bush huwa hawataki kuikubalisha akili, Ukifanya mapema utafanikiwa mapema ukichelewa ni hivyo hivyo.
Mdau mmoja kasema angalia waliotajirika wametajirika kwenye nini .
Mi ni mmojawapo wa watu waliokulia mjini na kuhamia kijijini, kila kitu kinazoeleka hasa kama msomi. Wanakijiji wanawapenda wageni.
unataka nikutajie shirika,wanipe termination?Achana nayo hiyo kazi mkuu,maana hujataka hata tujue ni shirika gani kiazi mbatata wewe.
Vijijini mbona maisha poaππππ
Unajikuta borntown wakati mnashindia mihogo ya mia 6,