Leo nimeondoka rasmi jijini Dar es Salaam baada ya kupata mchongo Jehanamu

Babu we Upo kwene Fursa kibao apo chakata akili yako mshahara unaopata wekeza apoapo kijijini Kwa akili utatoboa mjini kelele mingi tu ac solar panels na makitu mengine utafunga kwako baada ya kupata maokoto
 
Sio singida huko au Dodoma?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji2]
 
Sasa afisa ugani unataka upangiwe mjini Daslama kwani hapa tunalima nini? Nenda huko huko kijijini utatoboa...jenga urafiki na wakubwa wa kijiji ili iwe rahisi kupatiwa ardhi ya kulima
nimeupokea ushauri wako
 
muda huu nipo nalewa,diwani kaniahidi kunipa makazi pamoja na mwanawe wa kike
 
Hahahahaha daah mm kuishi sehemu hakuna mambo ya bata kumepowa ah siwez
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Singida or Dom iyooo
 
Kibaya zaidi utarogwa mpaka utazoea,Mchana unaona wanabeba maji na punda lakini usiku wewe ni zamu yako kuwa punda utalima sana mashamba ya watu usiku
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…