Objective football
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 1,195
- 2,771
- Thread starter
- #141
utahamaje ndio kwanza unaanza?huko itakuwa ni simiyu au singida, kama ni bariadi bora ufanye liwezekanalo uhame tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utahamaje ndio kwanza unaanza?huko itakuwa ni simiyu au singida, kama ni bariadi bora ufanye liwezekanalo uhame tu.
na ukakubali kung'oka mjini kisa hiyo pesa? wewe ni muoga sana wa maisha trust me kama ulikuwa unafanya mishe ukija kurudi wale uliokuwa nao kwenye mishe utawashangaa wamepaa mara tano zaidi nchi inafunguka kwa kasi sana sahivi hutakiwi kukaa mbali na jungu kuu!na makato mkuu+pakulala juu yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanza hongera kwa kupata kazi, zama hizi tu kupata kazi ni kitu cha kushangaza lazma raia wakuangalie mara mbili mbili kwamba umefanyaje hadi umepata kazi.
Pili piga kazi hapo bush huku ukiendelea kusaka koneksheni za kusogea mjini mjini, uzuri mmoja tu wa kukaa huko bush mishahara inakutana tu kwenye account kwahiyo una nafasi ya kujipanga.
Mwisho we ni agronini sijui sasa huko kwenye kilimo si ndo penyewe huku mjini unafanya nini au ndo kuwa agro kina Ashura.
sahihi afsaTanzania ni kubwa mnoo, unaweza kutembea porini masaa 4 hadi 5 na kote hakuna network
Nimewaza hvo Kwa sababu kasema wanachota kwa kutumia pundaSingida Kuna maji wew
tuliyamaliza na mkewanguashura yupi yule ni mkeo alieenda dodoma kikazi wakamnanii AU??
mahindi,maharage,alizetiMbali na kazi jitahidi kuichungulia fursa ingine hapo! Ukiona sehemu ina mapunda jua Pana fursa hapo, je wanalima nini? Hapo!
Ushauri kwa vijana wote ambao hamna familia, ukipata kazi kama hizi sehemu ambazo ni changamoto, jitahidi sana kuishi kwa malengo.Hakika dar es salaam ni Mji ulionipa marafiki wengi, network kubwa na hata pesa ya kuishi japo kuna siku mji huu ulinilaza njaa.
Asubuhi ya leo wakati natoka mbezi kuja huku mkoani chozi limeni tililika sana(fear of new changes)
Doh! nimefika mkoani , nikaenda kuripoti kituo changu cha kazi nilichopangiwa na shirika moja binafsi hapa nchini! ni aibu sana kwakweli!.
Wafanyakazi wenye certificate,diploma wanavimba ofisini na kipupwe mimi wamenipeleka kijijini wastani wa kilomita 120 kutoka mjini,hakuna makazi bora,maji ya tabu,usafiri wa shida na network inashika haloteli tu.
Nimeikuta jamii ni walevi mno, sura zao zimekosa nuru, najiona kabisa napotea kwenye ulevi wa kupindukia huku kijijini, wanatumia punda kwenda kuchota maji ya kunywa kweli!
kutokea mjini . sio kutokea dsmKilometer 120 unalala mika doo
kwani nimekuambia uhame leo?utahamaje ndio kwanza unaanza?
usishangae ndio mishahara ya wengi wetuDuh..!
toa maoni yako,mwingine aliye jikatia tamaa anaweza pata moyoSifa za wanaoshindwa kabla hawajaanza katika maisha!
ahsante sana kwa ushauri wako mkuuKwanza hongera kwa kupata kazi, zama hizi tu kupata kazi ni kitu cha kushangaza lazma raia wakuangalie mara mbili mbili kwamba umefanyaje hadi umepata kazi.
Pili piga kazi hapo bush huku ukiendelea kusaka koneksheni za kusogea mjini mjini, uzuri mmoja tu wa kukaa huko bush mishahara inakutana tu kwenye account kwahiyo una nafasi ya kujipanga.
Mwisho we ni agronini sijui sasa huko kwenye kilimo si ndo penyewe huku mjini unafanya nini au ndo kuwa agro kina Ashura.
hakika nimeupokea ushauri wakoUshauri kwa vijana wote ambao hamna familia, ukipata kazi kama hizi sehemu ambazo ni changamoto, jitahidi sana kuishi kwa malengo.
Jipe mwenyewe time frame kwamba nitafanya kazi hapa kwa miaka mitatu lazima niwe nimepata ramani nyingine, cha muhimu tunza pesa, usifuate starehe za Mkumbo kijijini uzinzi na pombe kupitiliza.
Jaribu kuangalia mazao ya kibiashara sehemu husika yanayostawi vizuri basi kwa kutumia pesa hiyohiyo unayolipwa unaweza ukaanza kukodi mashamba na kulimisha kisasa kwa kufuata kanuni zote za kilimo, usishangae baada ya miaka miwili ukafikia maamuzi ya kuwa mkazi wa kudumu na kuanza kuplan kujenga nyumba ya kuishi na kupanuwa vitega uchumi.
Mimi natembea sana vijijini naandika na kutowa ushauri sahihi.
Kwa vijana bila kuwapa muongozo huwa hawaelewi, kuna vijana huwa napiga nao story chimbo fulani hivi vijijinini madreva wa truck kubwa, wanalipwa 20,000/= kwa tripu, kwa siku trip 3 jumla 60,000/= mwisho wa mwezi Boss wao anawalipa 300,000/= mshahara.
Sasa hapa vijana hii 60,000/= wanalaka guest 10,000/= per night badala ya kupanga chumba 30,000/= per month.
Atakula migahawani 10,000/= au zaidi, kuna pombe na umalaya hiyo posho ya 60 per day haionekani inakwenda wapi na anaendelea kulalamika maslahi madogo.
Kwahiyo kikubwa kwenye maisha ni hesabu tu ndio kila kitu, nidhamu ya matumizi.
Mishahara itakutana kama huna familia, kuna unayo familia bill za Mangi zinakufuata hukohuko kijijini.Kwanza hongera kwa kupata kazi, zama hizi tu kupata kazi ni kitu cha kushangaza lazma raia wakuangalie mara mbili mbili kwamba umefanyaje hadi umepata kazi.
Pili piga kazi hapo bush huku ukiendelea kusaka koneksheni za kusogea mjini mjini, uzuri mmoja tu wa kukaa huko bush mishahara inakutana tu kwenye account kwahiyo una nafasi ya kujipanga.
Mwisho we ni agronini sijui sasa huko kwenye kilimo si ndo penyewe huku mjini unafanya nini au ndo kuwa agro kina Ashura.
sahihi mkuuMsomi tangu jadi ni change agent so umepelekwa kuleta mabadiliko.
Mkeo alivotoka dom alikwambia kwanini alikua hapokei simu? 🤣ahsante sana kwa ushauri wako mkuu
😳😳[emoji23][emoji23][emoji23] wakat wa likizo.