4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utampa wewe 600k kila Mwezi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utampa wewe 600k kila Mwezi?
sawa chiefsio mbaya mkuu , mm namalizia kujipanga maisha binafs niingie serikalin mkoani , nikapumzike nile maisha , mjin joto kali [emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani huko wewe ndo unamlipa hiyo 600k Kwa mwezi?
pambana ndugu , challenges ni kipimo cha ubunifu wako wa kuyakabir maishani rahisi kusema kuwa utaweza sababu hauna mchongo, ukiingia mzigoni sasa duh ! kwakweli mambo yasikie tu ukiwa nje
jaribu kufika wilaya ya Ngara Taarafa ya RulengeHivi kumbe Tanzania ni kubwa namna hii! doh
Ileje hiyoAiseee itakua singida au Kanda ya ziwa
Acha tutamchukua sisi wakazi wa jijikipenzi changu ashura wa makumbusho sijui hata tutaonana nae lini!
Kumbe! Sikufikiria hataIleje hiyo
Na akizubaa na wanambandua usikuKibaya zaidi utarogwa mpaka utazoea,Mchana unaona wanabeba maji na punda lakini usiku wewe ni zamu yako kuwa punda utalima sana mashamba ya watu usiku
Utakuta mashavu yameungua kwa misuguano[emoji23]amesema mali yangu atanitunzia
sahihi mkuuUkitaka kuishi unapopataka wewe achana na habari za kuajiriwa.
Mi demu wangu amekulia Kinondoni Chuo town kapelekwa Ileje nawaza tu anavyopata tabu..huko bushni rahisi kusema kuwa utaweza sababu hauna mchongo, ukiingia mzigoni sasa duh ! kwakweli mambo yasikie tu ukiwa nje
unaweza tamani kuto report ,lakini ukiwaza haso za mtaa dah!Mi demu wangu amekulia Kinondoni Chuo town kapelekwa Ileje nawaza tu anavyopata tabu..huko bush
Unajifanya mzalendo we ukipelekwa kakonko utaandika barua uache kaziMkuu kwanza hongera kwa kupata kazi yenye uhakika,ambayo inaambatana na kupewa bima ya afya,uhakika wa pesa kila mwezi itakayoambatana na annual increment,na finally uko subjected kwenye mikopo endapo utahitaji kwa siku zijazo,pili fanya kazi kwa bidii uwatumikie watanzania kwa moyo wako wote,kwani ulisoma na kuandaliwa ili utoe huduma kwa mwananchi yeyote ambaye yupo popote pale Tanzania bara au visiwani.Nakupa hongera tena mkuu.Mwanzo mgumu.
Kukaa bila kazi ndio kazi zaidiunaweza tamani kuto report ,lakini ukiwaza haso za mtaa dah!
Nipe mchongo kaKa,Mungu akutangulieHakika dar es salaam ni Mji ulionipa marafiki wengi, network kubwa na hata pesa ya kuishi japo kuna siku mji huu ulinilaza njaa.
Asubuhi ya leo wakati natoka mbezi kuja huku mkoani chozi limeni tililika sana(fear of new changes)
Doh! nimefika mkoani , nikaenda kuripoti kituo changu cha kazi nilichopangiwa na shirika moja binafsi hapa nchini! ni aibu sana kwakweli!.
Wafanyakazi wenye certificate,diploma wanavimba ofisini na kipupwe mimi wamenipeleka kijijini wastani wa kilomita 120 kutoka mjini,hakuna makazi bora,maji ya tabu,usafiri wa shida na network inashika haloteli tu.
Nimeikuta jamii ni walevi mno, sura zao zimekosa nuru, najiona kabisa napotea kwenye ulevi wa kupindukia huku kijijini, wanatumia punda kwenda kuchota maji ya kunywa kweli!