kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Kweli Kizimkazi anawanyoosha nyie wanyonge wa nchi hii
Leo nilitoka nikapanda usafiri wa umma ni muda sana sijapanda daladala
Kumbe nauli zimepanda kiasi hikiš¢
Halafu mnaimba kuwa anaupiga mwingi kweli kizimkazi anawanyoosha
Watanganyika mtajuta kumjua huyo bibi wallah nawaambia atawanyoosha kama una usafiri wako mshukuru sana Mungu aisee
Sio kwa nauli hizi za daladala!! Kizimkazi wala hajali lolote.
Kufa hamtokufa ila cha moto mtakiona!! Hii ndo hasara ya kuwa na watawala wenye roho ya kiswahili, wivu na husda dhidi ya raia wake wenyewe kwamba wakiweka mambo sawa wananchi watafaidi sana kwa mtazamo wao!! Hovyo kabisa!!