Leo nimepanda daladala!! Kumbe nauli zimepanda kiasi hiki?

Leo nimepanda daladala!! Kumbe nauli zimepanda kiasi hiki?

Kweli Kizimkazi anawanyoosha nyie wanyonge wa nchi hii

Leo nilitoka nikapanda usafiri wa umma ni muda sana sijapanda daladala

Kumbe nauli zimepanda kiasi hiki[emoji22]
Halafu mnaimba kuwa anaupiga mwingi kweli kizimkazi anawanyoosha

Watanganyika mtajuta kumjua huyo bibi wallah nawaambia atawanyoosha kama una usafiri wako mshukuru sana Mungu aisee

Sio kwa nauli hizi za daladala!! Kizimkazi wala hajali lolote.

Kufa hamtokufa ila cha moto mtakiona!! Hii ndo hasara ya kuwa na watawala wenye roho ya kiswahili, wivu na husda dhidi ya raia wake wenyewe kwamba wakiweka mambo sawa wananchi watafaidi sana kwa mtazamo wao!! Hovyo kabisa!!
Sawa wewe unausafiri private lakini Vipi suala la mafuta mkuu
 
D
Kwa hiyo mama anahusikaje na nauli kupanda?

Tatizo lile lizee sijui liliwaloga! Maana vyuma vilikaza lakini kwa umbumbumbu wenu mnajidai kusahau!

Acheni upumbavu!

Nchi inaenda vyema kama wakati wa Born Town.
Duh, aisee ubinadam kazi, kwahiyo maisha yanaenda vizuri sindio. Wallah watu kama nyie mnahitaji Dua😞😞😞
 
Mbona hamjasema nauli zimepanda kwa route zipi na mwanzoni ilikuwa kiasi gani na sasahivi ni kiasi gani,sisi wabeba boksi tunataka kujua ili kama tuna mpango wa kurudi home turudi ama tuahirishe.
Fanyeni mfanyavyo mbaki huko huko!!!!!
 
Tumshukuru rais kwanza tunapumua bure.
Mitano tena alisema lucas mshamba akilia huku analima mapera huko mbozi.
 
Hata kama haupandi dala dala ina maana hauna sehemu yeyote utapata taarifa kuwa nauli imepanda au mafuta yamepanda hii sio kweli bhana tupunguzieni chai...
Wewe kweli unashangaza mimi nilijua mafuta yamepanda kila siku, Lakini nilidhani nauli zilizopanda ni za mabus ya mikoan na sikufahamu kama nauli za daladala zilipanda tena baada ya ile ya mwanzo!!Kumbe zilipanda twice in a one year!! Halafu mimi gari yangu nimefunga mfumo wa gesi wala sihangaiki na hizo sheli zenu
 
Hebu twende sawa, wewe kwenye hilo gari lako kwa siku unatumia mafuta ya shilling ngapi n daladala bei gani?
Mwanzo nilikua nawekaga mafuta kwa mwezi unakuta naweka ya 150k mpaka 160k kwa mwezi lakini ni mwaka wa tatu sasa gari yangu nilibadilisha nikaweka mfumo wa gesi
 
Back
Top Bottom