Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Nauli ni rafiki kulingana na bei ya mafuta na umbali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwache ajihashue tu!Hebu twende sawa, wewe kwenye hilo gari lako kwa siku unatumia mafuta ya shilling ngapi n daladala bei gani?
Yaan kila kitu kimepanda bei kwa sasa, woiiiiiihVocha nazo zimepanda wakuu ya 500 kwa sasa ni 600 na ya 1000 sasahivi ni 1200
Wala sio chai, mimi mwenyewe hapa nina miezi kama 6 sijapanda daladala, kiukweli hata hizo bei zilizopanda sizijui, nimefungua uzi ili nijue zimepandaje, hahaHata kama haupandi dala dala ina maana hauna sehemu yeyote utapata taarifa kuwa nauli imepanda au mafuta yamepanda hii sio kweli bhana tupunguzieni chai...
hivi kidukulilo aliendaga wapiKweli Kizimkazi anawanyoosha nyie wanyonge wa nchi hii
Leo nilitoka nikapanda usafiri wa umma ni muda sana sijapanda daladala
Kumbe nauli zimepanda kiasi hiki😢
Halafu mnaimba kuwa anaupiga mwingi kweli kizimkazi anawanyoosha
Watanganyika mtajuta kumjua huyo bibi wallah nawaambia atawanyoosha kama una usafiri wako mshukuru sana Mungu aisee
Sio kwa nauli hizi za daladala!! Kizimkazi wala hajali lolote.
Kufa hamtokufa ila cha moto mtakiona!! Hii ndo hasara ya kuwa na watawala wenye roho ya kiswahili, wivu na husda dhidi ya raia wake wenyewe kwamba wakiweka mambo sawa wananchi watafaidi sana kwa mtazamo wao!! Hovyo kabisa!!
Ok hamna watu tegemezi mngejua...Wala sio chai, mimi mwenyewe hapa nina miezi kama 6 sijapanda daladala, kiukweli hata hizo bei zilizopanda sizijui, nimefungua uzi ili nijue zimepandaje, haha
Mangi asee kulikoni? Mwanzoni mwanzoni maza alivyokuwa rais ulimsifiaga sana.Kweli Kizimkazi anawanyoosha nyie wanyonge wa nchi hii
Leo nilitoka nikapanda usafiri wa umma ni muda sana sijapanda daladala
Kumbe nauli zimepanda kiasi hiki😢
Halafu mnaimba kuwa anaupiga mwingi kweli kizimkazi anawanyoosha
Watanganyika mtajuta kumjua huyo bibi wallah nawaambia atawanyoosha kama una usafiri wako mshukuru sana Mungu aisee
Sio kwa nauli hizi za daladala!! Kizimkazi wala hajali lolote.
Kufa hamtokufa ila cha moto mtakiona!! Hii ndo hasara ya kuwa na watawala wenye roho ya kiswahili, wivu na husda dhidi ya raia wake wenyewe kwamba wakiweka mambo sawa wananchi watafaidi sana kwa mtazamo wao!! Hovyo kabisa!!
Maamae kiko wapi?Basi basi kula chuma hicho
Hata hii imepanda bei maaamaeee.Yaan kila kitu kimepanda bei kwa sasa, woiiiiiih
Watu tegemezi wapo ila ndo hatuwaulizi kama nauli bei gani, utamuuliza kila mtu sasa..?Ok hamna watu tegemezi mngejua...
Si na mafuta yamepanda bei? Au maumivu ya bei ya mafuta nyie wenye magari ni madogo kuliko sie wa kulipa nauli?Kweli Kizimkazi anawanyoosha nyie wanyonge wa nchi hii
Leo nilitoka nikapanda usafiri wa umma ni muda sana sijapanda daladala
Kumbe nauli zimepanda kiasi hiki😢
Halafu mnaimba kuwa anaupiga mwingi kweli kizimkazi anawanyoosha
Watanganyika mtajuta kumjua huyo bibi wallah nawaambia atawanyoosha kama una usafiri wako mshukuru sana Mungu aisee
Sio kwa nauli hizi za daladala!! Kizimkazi wala hajali lolote.
Kufa hamtokufa ila cha moto mtakiona!! Hii ndo hasara ya kuwa na watawala wenye roho ya kiswahili, wivu na husda dhidi ya raia wake wenyewe kwamba wakiweka mambo sawa wananchi watafaidi sana kwa mtazamo wao!! Hovyo kabisa!!
Kwa hiyo ukiombwa nauli kwa wanaokutegemea utawapa ya Mbeya bila kuwauliza acheni kuishi maisha ya movie hayo watu wapo China,USA au SA wanajua nauli zimepanda wewe upo vingunguti kwa Tumbo unajifanya hujui kitu...Watu tegemezi wapo ila ndo hatuwaulizi kama nauli bei gani, utamuuliza kila mtu sasa..?
Wabongo mnavyopenda league sasa, hahaKwa hiyo ukiombwa nauli kwa wanaokutegemea utawapa ya Mbeya bila kuwauliza acheni kuishi maisha ya movie hayo watu wapo China,USA au SA wanajua nauli zimepanda wewe upo vingunguti kwa Tumbo unajifanya hujui kitu...