Hebu twende sawa, wewe kwenye hilo gari lako kwa siku unatumia mafuta ya shilling ngapi n daladala bei gani?Kweli Kizimkazi anawanyoosha nyie wanyonge wa nchi hii
Leo nilitoka nikapanda usafiri wa umma ni muda sana sijapanda daladala
Kumbe nauli zimepanda kiasi hiki😢
Halaf mnaimba kuwa anaupiga mwingi kweli kizimkazi anawanyoosja
Watanganyika mtajuta kumjua huyo bibi wallah nawaambia atawanyoosha kama una usafiri wako mshukuru sana Mungu aisee
Sio kwa nauli hizi za daladala!!Kizimkazi wala hajali lolote
If you can't make it, then fake it.- Chinese proveb.Hata kama haupandi dala dala ina maana hauna sehemu yeyote utapata taarifa kuwa nauli imepanda au mafuta yamepanda hii sio kweli bhana tupunguzieni chai...
Chai hiyo mzee mwenye gari anapata maumivu haraka sana maana mafuta wanapandisha kila mara wakati nauli haipandi kulingana na kupanda kwa mafuta kama sasa hivi mafuta yamepanda wiki kadhaa nyuma ila bei hazijapanda..Hebu twende sawa, wewe kwenye hilo gari lako kwa siku unatumia mafuta ya shilling ngapi n daladala bei gani?
Hawa watoto wanatuletea utani yaani sh.800 unataka usafiri kwa sh.ngapi km 20 toka kawe kwenda Mbagala?If you can't make it, then fake it.- Chinese proveb.
Awe na gari huyo fukara la kijiweniHebu twende sawa, wewe kwenye hilo gari lako kwa siku unatumia mafuta ya shilling ngapi n daladala bei gani?