PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Vijana wengi bado ni washamba mkuuHata kama haupandi dala dala ina maana hauna sehemu yeyote utapata taarifa kuwa nauli imepanda au mafuta yamepanda hii sio kweli bhana tupunguzieni chai...
Ndiyooo!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata hii imepanda bei maaamaeee.
View attachment 2977656
Sawa wewe unausafiri private lakini Vipi suala la mafuta mkuuKweli Kizimkazi anawanyoosha nyie wanyonge wa nchi hii
Leo nilitoka nikapanda usafiri wa umma ni muda sana sijapanda daladala
Kumbe nauli zimepanda kiasi hiki[emoji22]
Halafu mnaimba kuwa anaupiga mwingi kweli kizimkazi anawanyoosha
Watanganyika mtajuta kumjua huyo bibi wallah nawaambia atawanyoosha kama una usafiri wako mshukuru sana Mungu aisee
Sio kwa nauli hizi za daladala!! Kizimkazi wala hajali lolote.
Kufa hamtokufa ila cha moto mtakiona!! Hii ndo hasara ya kuwa na watawala wenye roho ya kiswahili, wivu na husda dhidi ya raia wake wenyewe kwamba wakiweka mambo sawa wananchi watafaidi sana kwa mtazamo wao!! Hovyo kabisa!!
Duh, aisee ubinadam kazi, kwahiyo maisha yanaenda vizuri sindio. Wallah watu kama nyie mnahitaji DuaπππKwa hiyo mama anahusikaje na nauli kupanda?
Tatizo lile lizee sijui liliwaloga! Maana vyuma vilikaza lakini kwa umbumbumbu wenu mnajidai kusahau!
Acheni upumbavu!
Nchi inaenda vyema kama wakati wa Born Town.
Ndiyo nyie mlio wasahaulifu. Jiwe aliwaloga haswaD
Duh, aisee ubinadam kazi, kwahiyo maisha yanaenda vizuri sindio. Wallah watu kama nyie mnahitaji Duaπππ
Fanyeni mfanyavyo mbaki huko huko!!!!!Mbona hamjasema nauli zimepanda kwa route zipi na mwanzoni ilikuwa kiasi gani na sasahivi ni kiasi gani,sisi wabeba boksi tunataka kujua ili kama tuna mpango wa kurudi home turudi ama tuahirishe.
Wewe kweli unashangaza mimi nilijua mafuta yamepanda kila siku, Lakini nilidhani nauli zilizopanda ni za mabus ya mikoan na sikufahamu kama nauli za daladala zilipanda tena baada ya ile ya mwanzo!!Kumbe zilipanda twice in a one year!! Halafu mimi gari yangu nimefunga mfumo wa gesi wala sihangaiki na hizo sheli zenuHata kama haupandi dala dala ina maana hauna sehemu yeyote utapata taarifa kuwa nauli imepanda au mafuta yamepanda hii sio kweli bhana tupunguzieni chai...
Mwanzo nilikua nawekaga mafuta kwa mwezi unakuta naweka ya 150k mpaka 160k kwa mwezi lakini ni mwaka wa tatu sasa gari yangu nilibadilisha nikaweka mfumo wa gesiHebu twende sawa, wewe kwenye hilo gari lako kwa siku unatumia mafuta ya shilling ngapi n daladala bei gani?
Si mchezo hii kitaalam sijui wanaiitaje?Yaan kila kitu kimepanda bei kwa sasa, woiiiiiih