Leo nimepata very classified information kutoka Tanzania kuhusiana na kutekwa Kwa Hamphley Polepole

Leo nimepata very classified information kutoka Tanzania kuhusiana na kutekwa Kwa Hamphley Polepole

Itoshe tu kusema polepole kwa yale aliyoyafanya, aliishi kindezi sana, hakupaswa kuishi vile na hali anajua ye na wenye nchi hawaivi, kuanzia mawasiliano yake, ulinzi nyumbani kwake na yeye mwenyewe pia, alikaa kindezi ndezi.. mbaya zaidi haluwa na escape plan kama ikitokea dharura.
Hakika. Kurudi Tz na kuwaamini wabongo ktk hali kama ile lilikua ni kosa la kiufundi.
 
Kuna watu wawili ambao serikali hii itajuta kuwateka na huenda kuwaua nao ni MDUDE NYAGALI NA HUMPHREY POLEPOLE. Hiyo ilikuwa ni Political blunder ya kishamba sana.

Kenya ipo hapo leo kwa sababu ya mauaji ya Tom Mboya.

1 Mauaji ya Tom Mboya mwaka 1969 yaliongeza mvutano wa kisiasa na kikabila na kubadilisha mwelekeo wa siasa za urithi wa uongozi.

2 Congo DRC
Mauaji ya Patrice Lumumba mwaka 1961 yaliingiza nchi katika miongo ya machafuko na hatimaye kuibuka kwa utawala wa Mobutu Sese Seko.

3Burkina Faso
Mauaji ya Thomas Sankara mwaka 1987 yalibadilisha kabisa sera za nchi, huku mrithi wake Blaise Compaoré akibadili mwelekeo wa kisiasa na kiuchumi.

4 South Africa
Mauaji ya Chris Hani mwaka 1993 yalitishia kusababisha vita vya wenyewe kwa wenyewe, lakini pia yaliharakisha mazungumzo yaliyosababisha uchaguzi wa kwanza wa kidemokrasia mwaka 1994.

5 Pakistan
Mauaji ya Benazir Bhutto mwaka 2007 yalisababisha machafuko, uchaguzi kuahirishwa, na mabadiliko makubwa ya kisiasa.
Hizo ni hekaya tu za kusomea History kwa ajili ya NECTA, ukifa umekufa tu, waliobaki wanaendela na maisha. Hizo nchi ulizozitaja wala hazijaathirika na vifo vya hao labda DRC tu ya Lumumba. Ujinga wa kujitakia wa Polepole usiulinganishe na wapigania uhuru
 
Kwa wanaojua overt na covert operations, ukianza tuu kutaja majina ya mandata, huu ni uthibitisho wewe hujui kitu, ila sio kosa lako, ni kosa la aliye kufeed false info ya hayo majina mawili!. Watu wote wanaokuwa arrested na polisi, hushikiliwa mahabusu!, wale wa Polepole sio polisi, ni wale wasiojulikana!.

Ili kuwasaidia watu humu kuhusiana na hawa wasiojulikana, hatua ya kwanza ni jinsi ya kuwatambua, Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana na katika wasiojulikana hawa, wako wasiojulikana wa type mbili, kuna wasiojulikana na 'wasiojulikana' Kama Walioua ni "Wasiojulikana" Then Karma, Albadir Itawahusu, ila kama ni 'Wasiojulikana', Hata Albadir Haisaidii Kitu, Wametimiza Tuu Wajibu Wao!
P
Mzee Paschal unaandika Kama kijana wa Generation Z...Ilihali umri umeshasonga...big up sana
 
Kuna watu wawili ambao serikali hii itajuta kuwateka na huenda kuwaua nao ni MDUDE NYAGALI NA HUMPHREY POLEPOLE. Hiyo ilikuwa ni Political blunder ya kishamba sana.

Kenya ipo hapo leo kwa sababu ya mauaji ya Tom Mboya.

1 Mauaji ya Tom Mboya mwaka 1969 yaliongeza mvutano wa kisiasa na kikabila na kubadilisha mwelekeo wa siasa za urithi wa uongozi.

2 Congo DRC
Mauaji ya Patrice Lumumba mwaka 1961 yaliingiza nchi katika miongo ya machafuko na hatimaye kuibuka kwa utawala wa Mobutu Sese Seko.

3Burkina Faso
Mauaji ya Thomas Sankara mwaka 1987 yalibadilisha kabisa sera za nchi, huku mrithi wake Blaise Compaoré akibadili mwelekeo wa kisiasa na kiuchumi.

4 South Africa
Mauaji ya Chris Hani mwaka 1993 yalitishia kusababisha vita vya wenyewe kwa wenyewe, lakini pia yaliharakisha mazungumzo yaliyosababisha uchaguzi wa kwanza wa kidemokrasia mwaka 1994.

5 Pakistan
Mauaji ya Benazir Bhutto mwaka 2007 yalisababisha machafuko, uchaguzi kuahirishwa, na mabadiliko makubwa ya kisiasa.
It's just a matter of time before that happens
 
Mimi si mmoja wao, na ikitokea umekuja usije kindezi, ukiwa mhaini kuwa mhaini kweli, miliki ak 47, maxoezi ya mara kwa mara.. security ya uhakika camera, miwani 6a kuonea kwenye giza etc.
Unajirekodi Youtube, unatupia ntandaoni ukiwa unejifungia chumbani Ununio. Kama wasingemkamata ningewadharau sana
 
Polepole alijiaminisha trust no body yeye kitendo cha kua anapigapiga pocha ovyo wakati yuko anagombana na watu wenye kila nyenzo ya kukupata unatakiwa kua smart Polepole alitakiwa hata kua hapo tu Tunduma upande wa zambia angeendelea kuwepo
Sasa Tunduma angekuwa anapata wapi chakula? Mtu maskini una hela ya mshahara tu, huna hata hela ya kuishi miaka 2 hapo DRC, eti unadanganyika kujifanya eti "mkombozi"??
 
Zile damu ni ama alijaribu kila namna ya kupambana ili asichukuliwe walivyo ona anakaribia kuwashinda wakampiga kitako cha bunduki au risasi au kisu. Huwenda alitoka pale akiwa ni maiti.

Mimi nitamkumbuka kama mtu aliye tubu madhambi yake na kujaribu kukaa upande wa haki.

Popote uliko naamini kuna watanganyika wazalendo watakupigania siku moja.

Bado nauliza yuko wapi TESHA?
Keptein Tesha aliongelea meza ile ile aliyokuwa anaongelea Polepole siku ya tarehe 4/10. Na script iliandikwa na Polepole. Keptein Tesha ndiye aliyemkamatisha Polepole tarehe 6/10 maana, wajeda kwanza walizima umeme kwenye transformer ya jirani kisha wakaruka ukuta
 
I cant buy this. Fafanua zaidi tuone imekaaje hii
 
Absolutely, Yes...

Mimi pia nilikuwa namshangaa sana...

Kwanza, mimi akili yangu yote ilikuwa inaamani kuwa kila video yake aliyokuwa anarusha kusema yuko Mlandizi au Chalinze au wakati mwingine Buza Kibaha au Zanzibar ilikuwa ni ujasusi wa kuwazuga wabaya wake wasijue exactly mahali alipo...

Lakini kumbe jamaa kweli alikuwa maeneo hayohayo...

Matokeo yake ndiyo hayo...

Natamani angekuwa ame consult Askofu Josephat Gwajima amfundishe ujasusi wa kuwakwepa wauaji...

Lakini masikini Humphrey Polepole aliamua kuingia vitani kupigana vita na shetani bila kuwa kinga ya kimbingu kama aliyonayo Askofu Josephat Gwajima..!
Gwajima ni msanii tu kama wasanii wengine,haiingii akilini mtu aliyeaminisha umma kuna anawindwa sana halafu hivi sasa aendeshe ibada inayohudhuriwa na maelfu !
Kama kweli alikua hatarini basi asingekuwepo nchi hii mpaka sasa,naamini ni "whistle blower '
 
Swali la msingi kabisa, Kwanini wasiojilikana huwa wanamteka au kumpiga risasi mtu anayeisema SERIKALI YA CCM Kwa namna ambavyo Wana CCM hawataki ?....Kuna uhusiano gani Kati ya wasiojulikana na CCM au Police ?....
 
Kwa wanaojua overt na covert operations, ukianza tuu kutaja majina ya mandata, huu ni uthibitisho wewe hujui kitu, ila sio kosa lako, ni kosa la aliye kufeed false info ya hayo majina mawili!. Watu wote wanaokuwa arrested na polisi, hushikiliwa mahabusu!, wale wa Polepole sio polisi, ni wale wasiojulikana!.

Ili kuwasaidia watu humu kuhusiana na hawa wasiojulikana, hatua ya kwanza ni jinsi ya kuwatambua, Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana na katika wasiojulikana hawa, wako wasiojulikana wa type mbili, kuna wasiojulikana na 'wasiojulikana' Kama Walioua ni "Wasiojulikana" Then Karma, Albadir Itawahusu, ila kama ni 'Wasiojulikana', Hata Albadir Haisaidii Kitu, Wametimiza Tuu Wajibu Wao!
P

Top guys always plan and approve the execution..they have names
 
I cant buy this. Fafanua zaidi tuone imekaaje hii
Keptein Tesha alikuwa project ya TISS, ndiye aliye ji-disguse kuwa ni mmoja wa wanajeshi ambao hawaridhiki na namna nchi inavyoendeshwa. Hivyo wakamashawishi Polepole kuwa waunganishe nguvu. Na jinsi Polepole alivyo boya akaingia mkenge. Akamkaribisha, akahariri ile taarifa na kisha akamruhusu Tesha kuirekodi na kuirusha palepale..

Kazi ya "Keptein Tesha" ilikuwa ni kusoma GPS alipo Polepole, mazingira yake na kutengeneza namna ya kuingia.

Hiyo kazi ilifanyika tarehe 04/ 10/ 2025 na wazee wa kazi wakatua tarehe 6/ 10/ 2025. Kazi ya kwanza ilikuwa kuzima umeme kwenye transformer linalopitisha umeme kwenda makazi ya Polepole hapo Ununio. Ndipo wakaruka, wakavunja milango na kumyakua kama panya buku mwenye mimba
 
Back
Top Bottom