Leo nimepata very classified information kutoka Tanzania kuhusiana na kutekwa Kwa Hamphley Polepole

Leo nimepata very classified information kutoka Tanzania kuhusiana na kutekwa Kwa Hamphley Polepole

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Daa, hadi mwili unatetemeka.

Leo nimepata very classified information kutoka Tanzania kuhusiana na kutekwa Kwa Hamphley Polepole.

Polepole alikuwa mwiba mchungu Kwa CCM na Samia. Na hali hii ilipelekea serikali kupambana usiku na mchana kumuwinda.

Familia ya Polepole na Polepole mwenyewe walikuwa wajinga sana, yaani kulikuwa na communication na movement kati ya nyumbani Kwa kina Polepole na alikokuwa akiishi, Hamphley Polepole.

Serikali ilitegesha mashushushu Kila sehemu kwenye mitaa ya mama Polepole. Kwa kufatilia movement walijiridhisha Hamphley Polepole alikuwa amejificha kwenye ile nyumba, iyo ilikuwa tarehe 04/10/2025 jioni.

Inadaiwa Basi Extraction missions ikapangwa, Kwa kuwa walikuwa hawajui Polepole kajipangaje, basi wakaanza TCRA. Tarehe 06/10/2025 TCRA walikata communication completely eneo lile, Kwa wakazi wa Lile eneo saa6-saa8 usiku wa tarehe 06/10/2025 network haikuwepo kabisa husingeweza kupiga Wala kutuma sms.

Hii ilitoa mwanya Kwa kikosi Cha Watekaji kuvunja mlango mmoja baada ya mwingine bila Polepole kuweza kupiga simu ya kuomba msaada au ata kuweka Insta live.

Watekaji walitumia kama 30min kuvunja geiti,na milango, Kwa Hali ya kawaida kama kungekuwa na network basi Polepole angeweza kupiga simu au hata kuweka Insta live.

Pia inadaiwa Kutekwa Kwa Polepole TCRA walihusika. DG wa TCRA anajua hili. Extraction mission ilisimamiwa na Jumanne Mulilo na Mafwele. Familia ya Polepole iwe Leo au kesho najua wataruka na Mafwele au Mulilo.

Mto wa Mbu,
Illinois-USA.
 
Daa, hadi mwili unatetemeka.
Extraction mission ilisimamiwa na Jumanne Mulilo na Mafwele. Familia ya Polepole iwe Leo au kesho najua wataruka na Mafwele au Mulilo.

Mto wa Mbu,
Illinois-USA.
Kwa wanaojua overt na covert operations, ukianza tuu kutaja majina ya mandata, huu ni uthibitisho wewe hujui kitu, ila sio kosa lako, ni kosa la aliye kufeed false info ya hayo majina mawili!. Watu wote wanaokuwa arrested na polisi, hushikiliwa mahabusu!, wale wa Polepole sio polisi, ni wale wasiojulikana!.

Ili kuwasaidia watu humu kuhusiana na hawa wasiojulikana, hatua ya kwanza ni jinsi ya kuwatambua, Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana na katika wasiojulikana hawa, wako wasiojulikana wa type mbili, kuna wasiojulikana na 'wasiojulikana' Kama Walioua ni "Wasiojulikana" Then Karma, Albadir Itawahusu, ila kama ni 'Wasiojulikana', Hata Albadir Haisaidii Kitu, Wametimiza Tuu Wajibu Wao!
P
 
Daa, hadi mwili unatetemeka.

Leo nimepata very classified information kutoka Tanzania kuhusiana na kutekwa Kwa Hamphley Polepole.

Polepole alikuwa mwiba mchungu Kwa CCM na Samia. Na hali hii ilipelekea serikali kupambana usiku na mchana kumuwinda.

Familia ya Polepole na Polepole mwenyewe walikuwa wajinga sana, yaani kulikuwa na communication na movement kati ya nyumbani Kwa kina Polepole na alikokuwa akiishi, Hamphley Polepole.

Serikali ilitegesha mashushushu Kila sehemu kwenye mitaa ya mama Polepole. Kwa kufatilia movement walijiridhisha Hamphley Polepole alikuwa amejificha kwenye ile nyumba, iyo ilikuwa tarehe 04/10/2026 jioni.

Basi Extraction missions ikapangwa, Kwa kuwa walikuwa hawajui Polepole kajipangaje, basi wakaanza TCRA. Tarehe 06/10/2026 TCRA walikata communication completely eneo lile, Kwa wakazi wa Lile eneo saa6-saa8 usiku wa tarehe 06/10/2026 network haikuwepo kabisa husingeweza kupiga Wala kutuma sms.

Hii ilitoa mwanya Kwa kikosi Cha Watekaji kuvunja mlango mmoja baada ya mwingine bila Polepole kuweza kupiga simu ya kuomba msaada au ata kuweka Insta live.

Watekaji walitumia kama 30min kuvunja geiti,na milango, Kwa Hali ya kawaida kama kungekuwa na network basi Polepole angeweza kupiga simu au hata kuweka Insta live.

Kutekwa Kwa Polepole TCRA walihusika. DG wa TCRA anajua hili. Extraction mission ilisimamiwa na Jumanne Mulilo na Mafwele. Familia ya Polepole iwe Leo au kesho najua wataruka na Mafwele au Mulilo.

Mto wa Mbu,
Illinois-USA.
Simulizi yako ni ya miaka ya mambele sana.Mioktoba ya 2026?
 
Kuna watu wawili ambao serikali hii itajuta kuwateka na huenda kuwaua nao ni MDUDE NYAGALI NA HUMPHREY POLEPOLE. Hiyo ilikuwa ni Political blunder ya kishamba sana.

Kenya ipo hapo leo kwa sababu ya mauaji ya Tom Mboya.

1 Mauaji ya Tom Mboya mwaka 1969 yaliongeza mvutano wa kisiasa na kikabila na kubadilisha mwelekeo wa siasa za urithi wa uongozi.

2 Congo DRC
Mauaji ya Patrice Lumumba mwaka 1961 yaliingiza nchi katika miongo ya machafuko na hatimaye kuibuka kwa utawala wa Mobutu Sese Seko.

3Burkina Faso
Mauaji ya Thomas Sankara mwaka 1987 yalibadilisha kabisa sera za nchi, huku mrithi wake Blaise Compaoré akibadili mwelekeo wa kisiasa na kiuchumi.

4 South Africa
Mauaji ya Chris Hani mwaka 1993 yalitishia kusababisha vita vya wenyewe kwa wenyewe, lakini pia yaliharakisha mazungumzo yaliyosababisha uchaguzi wa kwanza wa kidemokrasia mwaka 1994.

5 Pakistan
Mauaji ya Benazir Bhutto mwaka 2007 yalisababisha machafuko, uchaguzi kuahirishwa, na mabadiliko makubwa ya kisiasa.
 
Kwa wanaojua overt na covert operations, ukianza tuu kutaja majina ya mandata, huu ni uthibitisho wewe hujui kitu, ila sio kosa lako, ni kosa la aliye kufeed false info ya hayo majina mawili!. Watu wote wanaokuwa arrested na polisi, hushikiliwa mahabusu!, wale wa Polepole sio polisi, ni wale wasiojulikana!.
P
Ni Samia na watu wake, usizunguke sana
 
Kuna watu wawili ambao serikali hii itajuta kuwateka na huenda kuwaua nao ni MDUDE NYAGALI NA HUMPHREY POLEPOLE. Hiyo ilikuwa ni Political blunder ya kishamba sana.
Ni moja kati ya makosa makubwa sana , watu kama hao si wa kuuwawa wala kutekwa, saana ni kuwafingulia kesi za miaka miwili mitatu, una mwachia.
Kumteka mtu wa namna hio ni kosa kubwa sana la kimkakati.

Lile la lisu lilimchafua Sana magufuli ila pona yake lisu hakufariki, ila hili sidhami kama kuna namna ya kusafishika.

Hata wakimrudisha kesho dunia haita waelewa, ila angemaliza kifungo cha magereza ingeweza kueleweka.
 
Kwa wanaojua overt na covert operations, ukianza tuu kutaja majina ya mandata, huu ni uthibitisho wewe hujui kitu, ila sio kosa lako, ni kosa la aliye kufeed false info ya hayo majina mawili!. Watu wote wanaokuwa arrested na polisi, hushikiliwa mahabusu!, wale wa Polepole sio polisi, ni wale wasiojulikana!.
P
Ngombe
 
Itoshe tu kusema polepole kwa yale aliyoyafanya, aliishi kindezi sana, hakupaswa kuishi vile na hali anajua ye na wenye nchi hawaivi, kuanzia mawasiliano yake, ulinzi nyumbani kwake na yeye mwenyewe pia, alikaa kindezi ndezi.. mbaya zaidi haluwa na escape plan kama ikitokea dharura.
 
Wenye nchi ni kina nani?
 
Back
Top Bottom