Leo nimepata very classified information kutoka Tanzania kuhusiana na kutekwa Kwa Hamphley Polepole

Hatujui kama yupo hai au ashakarashiwa lakin kusema ukweli mimi ngoja waniseme mkuria mshamba lakini hata kama ntaishi ikulu na mabunduki nje panga sitawahi kulikosa tena a half to 1metre from where i sit or sleep. Bomoa mlango bt yule wa kwanza kuingia ni halali yangu
 
Shukrani sana.
Turudi sasa kwenye mantikinya hoja ya mleta mada.
Kwa wanaojua overt na covert operations, ukianza tuu kutaja majina ya mandata, huu ni uthibitisho wewe hujui kitu, ila sio kosa lako, ni kosa la aliye kufeed false info ya hayo majina mawili!. Watu wote wanaokuwa arrested na polisi, hushikiliwa mahabusu!, wale wa Polepole sio polisi, ni wale wasiojulikana!.
P
Hili ni tango pori!.
P
 
Kwamba polisi watatarifiwa wasifanye uchunguzi bila kuwajua watekaji, ina maana hawawajui ni akina nani wanawakataza wasifanye uchunguzi? Huyo anayewakataza polisi wasifanye uchunguzi si ndio mtekaji mwenyewe. Na ni nani mwenye nguvu hiyo zaidi ya rais?
Ni wasiojulikana!.
P
 
Kwa wanaojua overt na covert operations, ukianza tuu kutaja majina ya mandata, huu ni uthibitisho wewe hujui kitu, ila sio kosa lako, ni kosa la aliye kufeed false info ya hayo majina mawili!. Watu wote wanaokuwa arrested na polisi, hushikiliwa mahabusu!, wale wa Polepole sio polisi, ni wale wasiojulikana!.

Kwa wanaojua overt na covert operations, ukianza tuu kutaja majina ya mandata, huu ni uthibitisho wewe hujui kitu, ila sio kosa lako, ni kosa la aliye kufeed false info ya hayo majina mawili!. Watu wote wanaokuwa arrested na polisi, hushikiliwa mahabusu!, wale wa Polepole sio polisi, ni wale wasiojulikana!.
P
Ila Pasco Mungu anakuona, ila umeeleweka! Hakuna shaka kwenye hili!
 
Kwa wanaojua overt na covert operations, ukianza tuu kutaja majina ya mandata, huu ni uthibitisho wewe hujui kitu, ila sio kosa lako, ni kosa la aliye kufeed false info ya hayo majina mawili!. Watu wote wanaokuwa arrested na polisi, hushikiliwa mahabusu!, wale wa Polepole sio polisi, ni wale wasiojulikana!.
P
Sema braza unaisha vibaya i bet bado unasomesha endelea kukusanya ada
 
Wewe ndio umejua leo?
Mbona hayo yaliwekwa wazi kitambo husomi nyuzi humu?

Kwa HP alikua anajiamini bila kutumia akili.
Kwa yale mashambulizi yake dhidi ya wahuni aliowataja alitegemea wangemuacha kweli?
Alisahau kama hii nchi ina wanafki?

Au alijua bado yupo enzi za jiwe?
Nimehuzunika kupotea kwake lakini nimefurahishwa na yeye kuonjeshwa sumu aliyonywesha wenzie enzi za ufalme wake “Mr vieiti” Na hii ikawe alarm kwa wengine wapuuzi wote wanaoshabikia mauaji na utekaji kipindi wakila na kunywa high table..!
 
Na bado viongozi wakubwa wa ile dini ya "proud to be" na wale wauza mafuta na udongo wana muombea "huyu mama"
Hii sehemu ya udini inawafelisha sana chadema na kitima wenu, inawafelisha mnoooo. Mna chuki mpaka mnashindwa kuizuia. Ila si wengine tunafurahi tu maana inaleta urahisi kwa wenye akili kutenganisha maji na mafuta.
 
WhatsApp Image 2026-06-22 at 1.36.30 AM.jpeg
 
Back
Top Bottom