Daa, hadi mwili unatetemeka.
Leo nimepata very classified information kutoka Tanzania kuhusiana na kutekwa Kwa Hamphley Polepole.
Polepole alikuwa mwiba mchungu Kwa CCM na Samia. Na hali hii ilipelekea serikali kupambana usiku na mchana kumuwinda.
Familia ya Polepole na Polepole mwenyewe walikuwa wajinga sana, yaani kulikuwa na communication na movement kati ya nyumbani Kwa kina Polepole na alikokuwa akiishi, Hamphley Polepole.
Serikali ilitegesha mashushushu Kila sehemu kwenye mitaa ya mama Polepole. Kwa kufatilia movement walijiridhisha Hamphley Polepole alikuwa amejificha kwenye ile nyumba, iyo ilikuwa tarehe 04/10/2025 jioni.
Inadaiwa Basi Extraction missions ikapangwa, Kwa kuwa walikuwa hawajui Polepole kajipangaje, basi wakaanza TCRA. Tarehe 06/10/2025 TCRA walikata communication completely eneo lile, Kwa wakazi wa Lile eneo saa6-saa8 usiku wa tarehe 06/10/2025 network haikuwepo kabisa husingeweza kupiga Wala kutuma sms.
Hii ilitoa mwanya Kwa kikosi Cha Watekaji kuvunja mlango mmoja baada ya mwingine bila Polepole kuweza kupiga simu ya kuomba msaada au ata kuweka Insta live.
Watekaji walitumia kama 30min kuvunja geiti,na milango, Kwa Hali ya kawaida kama kungekuwa na network basi Polepole angeweza kupiga simu au hata kuweka Insta live.
Pia inadaiwa Kutekwa Kwa Polepole TCRA walihusika. DG wa TCRA anajua hili. Extraction mission ilisimamiwa na Jumanne Mulilo na Mafwele. Familia ya Polepole iwe Leo au kesho najua wataruka na Mafwele au Mulilo.
Mto wa Mbu,
Illinois-USA.