KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Acha vurugu we mtotoKwa mazingira yangu chance ya hiyo kutokea ni almost ZERO.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha vurugu we mtotoKwa mazingira yangu chance ya hiyo kutokea ni almost ZERO.
Nimekwmbia mbususu sio mdomo labda utakosa kula, kuhema nk.Kufuli hapana, ila nitakuwa makini sana.
Hapa ni hadi ndoa😂Hahah!!
Kwa hiyo sasa tunda lipo tayari kuliwa na wenye "kuvaa soksi tu"
Hongera. Njoo sasa utulie na Mimi tuanze maisha.Hauna haja ya kusubiri miezi mitatu kama unajijua miezi mitatu ya nyuma iliyopita haukujipitisha kwenye njia mbovu mbovu. Mimi nina uhakika hata baada ya miezi mitatu au sita hata mwaka majibu hayawezi kubadilika.
nimekwmbia mbususu sio mdomo labda utakosa kula, kuhema nk.
piga 🔒 kabisa hta mwaka
Niipige kofuli mwaka mzima halafu siku nafungua ndio napata UKIMWI😂😂😂nimekwmbia mbususu sio mdomo labda utakosa kula, kuhema nk.
piga 🔒 kabisa hta mwaka
Uwe tu tayari kupima😂Kama hujaolewa ukuje nikumarry
Hizo mara kwa mara mnakuwa mnatafuta majibu gani hadi mnarudia rudia hivo?Kupima mara moja tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] tunaopima mara kwa mara je
Hapa ni hadi ndoa😂
Unafungua kwa sababu maalumu then unafunga tena...Niipige kofuli mwaka mzima halafu siku nafungua ndio napata UKIMWI😂😂😂
Hiyo sio shida maana najiamini. Vipi sasa nije PM nikijiamini kuwa nimepata?Uwe tu tayari kupima😂
Na wewe umeamua kutulia?Hongera. Njoo sasa utulie na Mimi tuanze maisha.
Stress zake sio za nchi hiiMi sipimi kuna fisi nimemtafuna kavu nasubiri miezi 4 tuone
Ha ha ha...Unakuta mtu una kisonono, kaswende gono etc, halafu unajidai eti huna ukimwi, yote hayo si magonjwa ya zinaa?
Wala sina hofu labda UTI ndo naiwaza
HIV nadhan ni ngumu kupata pia mpaka mchubuane sijui utakuwa unatafuta niniHizo mara kwa mara mnakuwa mnatafuta majibu gani hadi mnarudia rudia hivo?
Sawa😂😂😁 ngoja tuone...