Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Hii kajitakia mwenyewe mkuuAJALI HAINA KINGA SAWA ILA KUNA ZAINGINE WATU WANAJITAKIA WENYEWE
Hawa jamaa huwa hawafuati sheria za barabarani. Taa nyekundu haziruhusu kupita yeye anapita.Aiseeh usafiri wa boda ni hatari, hawa ndugu zetu hawapo makini kabisa sheria za usalama barabarani hawazifuati kabisa.
Nimeshuhudia ajali ya hapa Chang’ombe Temeke, boda kapingwa na gari mlio umesikika mithiri ya bomu.
Huyu boda angekufa kwa uzembe wake yeye mwenyewe, taa za barabarani hazijamruhusu kupita yeye kaamua kupita kivyake kibaya zaidi mwenye gari alimuona alianza kupiga honi akiwa toka mbali.
Ashukuriwe Mungu yupo hai mwenye gari kajitahidi sana kumkwepa, ndugu zetu hembu kuweni makini mnahatarisha sana roho za watu.
Sio Tigo??Hata hii ya kibo ubungo nasikia voda ndio chanzo
Hii sio ajali mbaya.Aiseeh usafiri wa boda ni hatari, hawa ndugu zetu hawapo makini kabisa sheria za usalama barabarani hawazifuati kabisa.
Nimeshuhudia ajali ya hapa Chang’ombe Temeke, boda kapingwa na gari mlio umesikika mithiri ya bomu.
Huyu boda angekufa kwa uzembe wake yeye mwenyewe, taa za barabarani hazijamruhusu kupita yeye kaamua kupita kivyake kibaya zaidi mwenye gari alimuona alianza kupiga honi akiwa toka mbali.
Ashukuriwe Mungu yupo hai mwenye gari kajitahidi sana kumkwepa, ndugu zetu hembu kuweni makini mnahatarisha sana roho za watu.
Yani wanaume tumebaki wachache sana. Yani kushuhudia tu ajali ya bodaboda unatetemeka?Aiseeh usafiri wa boda ni hatari, hawa ndugu zetu hawapo makini kabisa sheria za usalama barabarani hawazifuati kabisa.