Leo nimeshuhudia ajali ya bodaboda mpaka nimetetemeka

Nikipata gari lazima nitawaua bodaboda wawili watatu na wengine kuwapeleka mitaroni


Hawa jamaa ukitoka na baskeli yako upige misele ya hapa na pale wao ndio watakuua barabarani na sio magari.
 

hivi hizi picha na video huwa zinatumika status pia [emoji2][emoji2].

maana ukikuta watu wako busy kurekodi damu za watu mpaka unashangaa.
 
Hapo wakulaumiwa mwenye gari, angemvaa angetupunguzia wavunja sheria za barabarani ambao husababisha vifo kwa abiria wao.
 
Wazima mkuu ila kesho na jnne kutakuwa na storm ya hatarii. Mvua, upepo na radi. Navyopenda storm hasa ikinikuta ndani wee acha tu nimetulia zangu kwenye studio apartment 45msqure na demu wangu.

Forecasters watahadharisha.
Tatizo mademu wa ki denish wabaguzi sana asee
 
Wazima mkuu ila kesho na jnne kutakuwa na storm ya hatarii. Mvua, upepo na radi. Navyopenda storm hasa ikinikuta ndani wee acha tu nimetulia zangu kwenye studio apartment 45msqure na demu wangu.

Forecasters watahadharisha.
Mademu wa kidenish wabaguzi sana lkn likikupenda yanajua kuganda hatari
 
Hili la bodaboda kupita taa zinapokuwa nyekundu ni jambo la ajabu kabisa. Polisi wao wako kimya na imeshakuwa kama ni sheria ya barabarani. Kweli vongozi wetu wamechoka kimawazo na wamebaki kutumbua raslimali zetu.
 
Yaaan naogopaga pikipiki barabara ya morogoro road kuanzia korogwe kuelekea kibaha, sam nujoma road, kamata road na hii ya riverside. Hiyo ya mbagala yaan utaniua. Niliona siku moja semi trela limemsukuma na upepo mbaba alikua anaendesha pikipiki yake tena hana fujo na si bodaboda wala. Alitupwa kuleeee. Hapo kabla ya vingunguti. Niliumia kama namjua. Bora aliangukia katikati pale kuna majani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…