Leo nimeshuhudia ajali ya bodaboda mpaka nimetetemeka

Tanzania ninchi pekee duniani ambayo mtu anaweza kujifunza pikipiki asubuhi mchana akapata leseni jioni akaanza kukeba abiria tena usalama barabalani wakiwa wanamfahamu fika
 
Siku nikiwa na garienye ngao kubwa bodaboda nitawachinja sana.

Nikiona hajabeba abiria na akivunja Sheria na Mimi ndio nimuokoe lazima nikanyage mafuta niende nae. Hawa jamaa wapuuzi sana.
 

Hao ni Vishandu.
 
Mungu ni Mwema kwa kuepusha kifo.
Bodaboda ni kama wanatembea na viwiliwili huku roho zao wamezifungia makabatini huko majumbani kwao
 
Hapana mkuu, Sweden nimekaa siku 5 lkn Norway hapana
Norway nimekaa sana napo ni poa sana. Mara kwa mara naendaga.

Ila Sweden siku hizi siyo poa hasa kazi za kubeba boksi. Kwa skilled workers ndo poua. Sweden hii kazi ya kudrive truck inalipa sana naona wabeva boksi wengine wanatudi hadi Tanzania kujifunA kuendesha malory halafu wanarudi huku kupata leseni. Mshahara 60 k per month swedish krona
 
Sijawahi kuwapenda wa Nord...
Ni watu flani wana vimajivuno kama Waitaliano.

Wadanish nilikuwa kama nimewaloga, walinikubali sana hadi nilipoamua kuachana nao na kufanya yangu....haikuwa rahisi kuwaacha, kila nikiomba kuacha niliongezewa mshahara kwa miaka miwili mizima hawataki niache.

Sema shida ndogo nao ni wabahili sana.

Waswedish sio wabahili kivile lakini
 
Huyo mwenye gari mpumbav anahangaika kukwepa nini... Bodaboda vilaza sana wakijitoa akili na wewe unajitoa fahamu...
 
Natamani sanaa watu wajue elimu ya kujihami hasa madereva...ila sjui naanzia wapi
 
Mungu akuzidishie pale ulipofanya kwa kweli..
Dunia yetu ya sasa mtu akipata ajali badala ya kupewa msaada wananchi wanaanza kuchukua kwanza video/kupiga picha [emoji848][emoji848]
 
Mungu akuzidishie pale ulipofanya kwa kweli..
Dunia yetu ya sasa mtu akipata ajali badala ya kupewa msaada wananchi wanaanza kuchukua kwanza video/kupiga picha [emoji848][emoji848]
Hatari sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…