Leo nimeshuhudia ajali ya bodaboda mpaka nimetetemeka

Kuna matukio hua wanafanya barabarani hadi unijuliza kwa nini serikali isipige marufuku usafiri wa bodaboda, lakini unakumbuka kwamba ujambazi utaongezeka una baki kusonya tuu, ndio maana Lema alisema bodaboda sio kazi ni laana
Serikali wangepiga marufuku bodaboda zisiingie katikati mwa mji hii itasaidia sana
 
Una moyo wa kiungwana sana
Mungu azidi kukubariki daima ndugu yangu
 
Bodaboda wengi wanaocheza barabarani mama zao ni vijana,wao wakifa mama zao watazaa tena.
 
Kuna hao boda wa arusha wana balaa sana
 
Bora nitumie bolt madereva wenye leseni na kila kitu
 
Hawa jamaa hawajipendi.Ile ajali ya Kibo ,Ubungo alisababisha bodaboda

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…