Ndio ukubwa huoJamaa amekula keleb moja safi
Jamaa amekula keleb moja safi
wakitoka huko ndo wanakuja kumalizia hasira zao JF😅😅😅Mbona wengi tuu wanapigwa makofi na mitama, Huko ndoani wanafanywa punching bag
Japokuwa n kwel wanayoongea, Ila kipigo Ndo sababu kuu 🤣 walikosea kuchaguawakitoka huko ndo wanakuja kumalizia hasira zao JF😅😅😅
Mna roho ngumu sana nyie watu 🤣acha wapigwe tu🤣🤣🤣 na huyo mpigaji aongezewe ulinzi