Kamsemee kwa babaakeMimi huwa napigwa makofi na mke wangu!
wakome kabisa😂😂😂😂😂Japokuwa n kwel wanayoongea, Ila kipigo Ndo sababu kuu 🤣 walikosea kuchagua
maisha ndo yametugumisha bruhMna roho ngumu sana nyie watu 🤣
Poleni 🤣maisha ndo yametugumisha bruh
Hatukomi, tutaendelea kuwapelekea moto mpaka mkomewakome kabisa😂😂😂😂😂
pole tena🙄 hauoni tulivyo kaza saivi ni vilio tu huko jinsia ya pili au hauoni 🤣🤣🤣Poleni 🤣
unapeleka moto siku ukizingua unadundwa 🤣🤣🤣🤣 bado kidogo muanze kusema "justice for men" 🤸♀️🤸♀️Hatukomi, tutaendelea kuwapelekea moto mpaka mkome
Sio vilio bali n maumivu kuona wanawake tunaowapenda wakipotea, hvy tunapambana kuwarudisha Kwenye relipole tena🙄 hauoni tulivyo kaza saivi ni vilio tu huko jinsia ya pili au hauoni 🤣🤣🤣
Kipigo cha mpenzi hakiumi 🤣unapeleka moto siku ukizingua unadundwa 🤣🤣🤣🤣 bado kidogo muanze kusema "justice for men" 🤸♀️🤸♀️
too late😪💔Sio vilio bali n maumivu kuona wanawake tunaowapenda wakipotea, hvy tunapambana kuwarudisha Kwenye reli
Kama sio nyie wa sasa, bc tunapambana na kizazi kijacho kije kujifunzatoo late😪💔
mtoto wa nyoka ni nyoka, labda unasemea ulimwengu mwingine tukiwa hatuna kumbukumbu za nyumaKama sio nyie wa sasa, bc tunapambana na kizazi kijacho kije kujifunza
mwanzeko kafukiwa huko kwa hicho hicho kipigo cha mpenzi😭Kipigo cha mpenzi hakiumi 🤣
Ajali kazini tuu hy, ww hujawahi kuona mtu ana furaha mpaka analia 🤣mwanzeko kafukiwa huko kwa hicho hicho kipigo cha mpenzi😭
Nimecheka sana.Me nilishawahi ambiwa ingia kwenye gari tuondoke akarudia tena "baba ***com nakwambia ingia kwenye gari tuondoke ntakudhalilisha"....
Nikaona huyu kajipanga hata nikilianzisha na nikamshinda bado ntakua nimedhalilika halafu gari ni la kwake,nikawaaga washkaji tukaondoka
acha tu mtu wangu,,, ngoja nimalize kula nije kujidhalilisha... usicheze mbali😁😁😁😁Ah Mpaka umetukana 🤣
Em nipe huo mkasa
Ngoja nikufollow na n-subscribe kabisa 🤣acha tu mtu wangu,,, ngoja nimalize kula nije kujidhalilisha... usicheze mbali😁😁😁😁