Joan lewis
JF-Expert Member
- Jan 3, 2019
- 993
- 1,463
- Thread starter
- #21
Tena huyo mtu wa Jamii hiyo mbona dakika tu unapata jiko mkuu.Vipi hukuomba namba sheikh
Kama ana binti mkubwa tuambiane nipeleke posa miye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena huyo mtu wa Jamii hiyo mbona dakika tu unapata jiko mkuu.Vipi hukuomba namba sheikh
Kama ana binti mkubwa tuambiane nipeleke posa miye
Good senior member. Sisi jf expert members tuige mfano wako sio kushambulia Kila kitu Mwisho watu watakuwa wanaogopa kuandika nyuzi. 😔Ni mtu wa watu,
Salute Mh.Waziri
Sawa next time nahakikisha Haitazma chaji la sivyo najua sitaandika Uzi.Bila pichcha hawezi kutuaminisha siyo.
Maneno matupu hayavunji mfupa.
Hujabubujikwa na machozi?
Sawa aliitika in just humble ways yaani hakuwa Ktk standard yoyote. That was my meaning.Samahani mtoa mada, kuitikia salamu yako kama mama wa uswahilini ndio uchapa kazi? I mean ndio kigezo hicho
Sikatai mama Gwajima kuwa mchapa kazi ila mkuu ungeishia kusema ni humble
Utajuaje kama walikuwa kule kando ya barabara? Ile barabara ilikuwa na watu wengi na Mimi nilikutana nae ghafla na nilipomsalimia akajibu nilipita Wala sikugeuka nyuma kuangalia yuko na nani. Labda huyo aliyesema alikuwa na mumewe akawatania alikuwa na nani?Kama alikuwa anatembea bila guard umetupiga
Mtampoza na hizo sifa. Top in town apendi kufunikwa. Yasije kua kama ya Jerry alipokua ardhiKuna sehemu alitukuta tumekaa na mshikaji wangu, alikuwa na mumewe akaja mpaka pale akatutania,mbona mnaangalia sana hiyo iPad,vijana msije kuwa mnaangalia Pilau,tukacheka pale na story mbili tatu, kusema kweli yule mama na kazi yake ya ustawi wa jamii inamfaa sana.
Hata ukiangalia namna anavyojibu comments mitandaoni,hajali ni nani ameibua jambo,hata wale wakosoaji wakubwa wa serikali kama kina Boni Yai,anajibu na anafanyia kazi na mrejesho analeta.
Huko kuitikia ka mama wa uswahili ikoje sijui!?Samahani mtoa mada, kuitikia salamu yako kama mama wa uswahilini ndio uchapa kazi? I mean ndio kigezo hicho
Sikatai mama Gwajima kuwa mchapa kazi ila mkuu ungeishia kusema ni humble
Nikweli,ila kuna comment hapo juu wanadai amekimbilia KenyaMtampoza na hizo sifa. Top in town apendi kufunikwa. Yasije kua kama ya Jerry alipokua ardhi
Machozi ni ya Lucas Mwashambwa tu. Jinsi mahaba yanavyomuelemea soon ataanza kujiharishia kabisa😂😂😂😂😂Hujabubujikwa na machozi?