Leo nimetafakari sana kifo cha Rais Benjamin Mkapa

Leo nimetafakari sana kifo cha Rais Benjamin Mkapa

Status
Not open for further replies.
Umetafakari vyema sana mkuu, Mimi hakuna kipengele kilichonigusa Kama hiki kwa kweli.

Tuseme tuu ajaliwe mahali ambapo hapana bugdha Wala shari.

View attachment 1622697

Nimesikia hotuba hii ya hayati Mkapa BW ya kitabu chake.

Huyu ni mmoja wa wale viongozi waliokosa amani na kauli ya JPM ya nchi hii tumechezewa sana na mafisadi. Ilimkosesha usingizi. Wivu wa perfomance ya JPM inayo mpaka umaarufu.
Uzee pengine ulimgharimu. Anasema nini kuhusu yule polisi aliyekatwa kichwa kama kuku? Unawezaje kuwa Rais usijue kichwa kimoja cha polisi kinasimamia maelfu ngapi ya usalama na amani ya rai wa Tanzania a simple calculation!!? Anawaambia nini familia yake? Anapeleka ujumbe gani kwa polisi wa Tanzania na wengine wa vyombo vya ulinzi na usalama?

Alituachia nchi yenye rais wa sifa za kupikwa za magazeti y Rai, Mtanzania na Express. Roho mbaya huyu alimzima Katibu wake Lumbanga akitaka kumtetea mtumishi mwandamizi wa serikali aliye dhulumiwa stahiki zake kwa vile tu mtumishi huyo kuna wakati alikuwa tume ya maadili ya umma.

Kitabu chenyewe kwa kusikia maudhui yake tu ni dhahiri kililenga kuhujumu serikali na a sitting president. Apumzike panapo mstahili.
 
Kuna tabia ya kuanza ku edit historia watu wakifariki.

Ukweli ni kwamba, kuna consistency katika kubana uhuru Tanzania kutoka Nyerere mpaka Magufuli.

Mkapa ndiye Godfather wa Magufuli. Miaka yote hiyo Magufuli alivyominya upinzani Mkapa alishindwa nini kukemea?

Marais wawili ambao kidogo walijaribu kujiondoa kwenye kuminya mawazo mbadala ni Mwinyi na Kikwete. Mwinyi zaidi.

On a large scale, hakuna ambacho anafanya Magufuli leo ambacho Nyerere hajafanya. Tofauti pekee ni kwamba, Magufuli anafanya kwa nguvu na kijinga, na Nyerere alifanya kwa siasa ya hali ya juu na ujuzi wa hila za Ki Makaveli.

Magufuli kaminya vyama vya upinzani? Nyerere alivifuta kabisa. Kwa miaka takribani 30.

Magufuli kawafanya wapinzani wakimbie nchi? Nyerere alikimbiza kina Kambona na Masha.

Magufuli kaiba kura? Nyerere alibariki matokeo ya chaguzi kubadilishwa Zanzibar tangu enzi za chama kimoja.

Unajiuliza Mkapa angefanyaje?

Huwa sipendi kuhariri historia.

Ila jiulize.

Katika maisha yake alifanya nini kumkemea Magufuli?

Kitu pekee Mkapa alichomkemea Magufuli ni kuita serikali "serikali ya Magufuli" badala ya " serikali ya CCM". Or something to that effect. As if this credit grab is the most atrocious thing Magufuli has done.

Katika mabaya yote ya Magufuli, hilo ndilo aliloliona muhimu kabisa kukemea.

On that topic, bora hata Nyerere alimkemea Mwinyi kwa kuvunja katiba.

Angalau Nyerere alikemeq jambo la msingi. Wazi.

Magufuli amevunja katiba kipindi chake cha kwanza chote, mara nyingi tu, mfano kwa kukataza wapinzani kufanya mikutano.

Mkapa hakumkemea.

Kwa nini unafikiri angemkemea kwenye uchaguzi?
Jingine, eti watu wanampongeza Mkapa kwa kutaka tume huru!

Kutaka tume huru baada ya yeye kustaafu.

Seriously?

Was this like a biblical revelation of his twilight years??????
 
Mwenye kitabu asambaze upendo [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Jingine, eti watu wanampongeza Mkapa kwa kutaka tume huru!

Kutaka tume huru baada ya yeye kustaafu.

Seriously?

Was this like a biblical revelation of his twilight years??????
It is never too late to take a correct stance.

It is not a shame to admit mistakes and require a positive change.
 
It is not a shame to admit mistakes and require a positive change.

Will you accord President Magufuli the same or similar kind of consideration if and when he expresses penitence for the things he did wrong during his tenure, years after he is no longer president ?
 
Unayosema uko sahihi sana, lakini watu haohao katika nyakati na majira nje ya madaraka wamekuwa na misimamo na mawazo fulanifulani ambayo ni mizuri kwa Taifa lakini haipendezi kwa watawala wa wakati huo. Sasa Whatever the timing ya misimamo yao mipya, It is never too late kutaka kitu sahihi kifanyike au vipi?
Yaani inaonekana wakiwa madarakani kuna watu wanawafanyia maamuzi ambayo baadae wakitoka madarakani wanajuta
 
Will you accord President Magufuli the same or similar kind of consideration if and when he expresses penitence for the things he did wrong during his tenure, years after he is no longer president ?
I am not sure if he will, I am not sure if he will vacate office in the first place. Quite frankly I'm not sure if i will be there to witness that day.
I am living the present!
 
I am not sure if he will, I am not sure if he will vacate office in the first place. Quite frankly I'm not sure if i will be there to witness that day.
I am living the present!
I thought I asked a pretty straightforward question!

Is it that you didn’t understand it or what?

Your reply has absolutely nothing to do with what I asked.
 
Jingine, eti watu wanampongeza Mkapa kwa kutaka tume huru!

Kutaka tume huru baada ya yeye kustaafu.

Seriously?

Was this like a biblical revelation of his twilight years??????
I sometimes fail to understand you.
At one time you seem to be on one side of the game and another time on the other side.

Naona mfumo wetu wa kiuongozi umekaa vibaya tangu kuasisiwa kwake.
Kizuri ktk awamu ya kwanza ni kutojilimbikizia mali tu but vingine vingi havikuwa sawa.

Kibaya sana sana ni mfungamanisho wa chama na dola hasa wanaoitwa wasiojulikana.
huo ndio mzimu mkubwa kuliko yote aliyotuachia baba wa Taifa.
 
Yawezekana katangulizwa ili wafanye yao??
 
Hivi huwa sielewi watu mnaomuita JPM dikteta Mara anaua upinzan huwa mna sababu zipi,,ukweli ni kwamba upinzan nchin Tanzania unauliwa na wana nchi wenyew ,,wananchi wanaona serikal iliyopo madarakani inafanya kazi nzuri ,,unategemea nin ? Zaid ,,uchaguz wa mwaka 2020 pamoj na changamoto kadhaa ,ukweli utabak kazi ya JPM ya miak 5 ilikuwa lazima CCM ishinde kwa kishindo ,,
Sawa Mbunge ukiyepita bila kupingwa!! Ni muda muafaka sasa wa kusifu na kuabudu kwa baba aliyemwaga neema hii adimu.
 
I sometimes fail to understand you.
At one time you seem to be on one side of the game and another time on the other side.

Naona mfumo wetu wa kiuongozi umekaa vibaya tangu kuasisiwa kwake.
Kizuri ktk awamu ya kwanza ni kutojilimbikizia mali tu but vingine vingi havikuwa sawa.

Kibaya sana sana ni mfungamanisho wa chama na dola hasa wanaoitwa wasiojulikana.
huo ndio mzimu mkubwa kuliko yote aliyotuachia baba wa Taifa.
Kama una akili ndogo itakuwia vigumu kunielewa.

Mimi nasimamia haki, ukweli, na busara za kawaida.
 
Hili suala huwa nalifikiria mara kwa mara pia, ila ndio kesha fariki tayari.
 
UMESOMA MADA LAKINI AU NDO USHAWASHWA SWITCH YA KUSIFIA KILA MADA UNAKURUPUKA KUSIFIASIFIA TU MADA INA MUHUSU MKAPA WEWE UNAINGIZA MAMBO YA JPM NA WAPINZANI ALAFAU PUNGUZA SHOBO MWANAUME KUSIFIA SIFIA HAIPENDEZI
Punguza kasi, soma kipengele namba 1 aya ya pili.

Soma na kipengele namba 2.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom