Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Umetafakari vyema sana mkuu, Mimi hakuna kipengele kilichonigusa Kama hiki kwa kweli.
Tuseme tuu ajaliwe mahali ambapo hapana bugdha Wala shari.
View attachment 1622697
Nimesikia hotuba hii ya hayati Mkapa BW ya kitabu chake.
Huyu ni mmoja wa wale viongozi waliokosa amani na kauli ya JPM ya nchi hii tumechezewa sana na mafisadi. Ilimkosesha usingizi. Wivu wa perfomance ya JPM inayo mpaka umaarufu.
Uzee pengine ulimgharimu. Anasema nini kuhusu yule polisi aliyekatwa kichwa kama kuku? Unawezaje kuwa Rais usijue kichwa kimoja cha polisi kinasimamia maelfu ngapi ya usalama na amani ya rai wa Tanzania a simple calculation!!? Anawaambia nini familia yake? Anapeleka ujumbe gani kwa polisi wa Tanzania na wengine wa vyombo vya ulinzi na usalama?
Alituachia nchi yenye rais wa sifa za kupikwa za magazeti y Rai, Mtanzania na Express. Roho mbaya huyu alimzima Katibu wake Lumbanga akitaka kumtetea mtumishi mwandamizi wa serikali aliye dhulumiwa stahiki zake kwa vile tu mtumishi huyo kuna wakati alikuwa tume ya maadili ya umma.
Kitabu chenyewe kwa kusikia maudhui yake tu ni dhahiri kililenga kuhujumu serikali na a sitting president. Apumzike panapo mstahili.