Leo nimetambulishwa kwa mashemeji zangu, ghafla wakaanza kuimba "Mtoto kautaka", maana yake nini?

Leo nimetambulishwa kwa mashemeji zangu, ghafla wakaanza kuimba "Mtoto kautaka", maana yake nini?

Hahahaaaaa... haya mambo hata mimi sielewi. Ni mageni kabisa
Mtoto kautaaaa mtoto kautaaa
 
Biharusi mtarajiwa: Money Penny njoo

Money penny: nimefika mama nini mbaya

Biharusi mtarajiwa: nimetambulishwa leo kwa mashemeji zangu wa kiume kwa mara ya kwanza

Money penny: enhe

Biharusi mtarajiwa: baada ya utambulisho wakaanza kupiga makofi, wakaanza kuimba

"Uyo mtotooooooo, uyo mtotoooooo"

Shemeji no 1: mtoto kautaaa
Mtoto kautaaa

Shemeji no 2: mtoto kautaka mtoto kautaka

Sasa sijaelewa huu wimbo una maana gani maana me sisiskilizagi bongo movie,

Wimbo una maana gani? Nimemwuliza mchumbaangu anacheka

Haya jamani, mtoto wa 2004l2 anauliza mtoto kautaaaa, manake nini?
Nasubiri sauti ya kuomba maji.....
 
Hivi hamuoni so kuandika vitu vya kitoto humu?
We kama unaona so mbona umekuja ku comment
Au ndio tabia zako za kutongozeshea watoto wako kwa wadada?
 
Back
Top Bottom