Leo nimetambulishwa kwa mashemeji zangu, ghafla wakaanza kuimba "Mtoto kautaka", maana yake nini?

Leo nimetambulishwa kwa mashemeji zangu, ghafla wakaanza kuimba "Mtoto kautaka", maana yake nini?

We kama unaona so mbona umekuja ku comment
Au ndio tabia zako za kutongozeshea watoto wako kwa wadada?
Ukifanya maujinga watakustua ni watu,hasa wale wakweli. Kumbuka hapa ni hadharani, huu ujinga ungefanyia kitandani hakuna mtu angesema
 
we
Kama mama yako alifokorewa pole, usituletee afya ya akili hapa
Wendo mama yangu..sasa kuwa na Adabu we mwenye vitobo 6
 
Biharusi mtarajiwa: Money Penny njoo

Money penny: nimefika mama nini mbaya

Biharusi mtarajiwa: nimetambulishwa leo kwa mashemeji zangu wa kiume kwa mara ya kwanza

Money penny: enhe

Biharusi mtarajiwa: baada ya utambulisho wakaanza kupiga makofi, wakaanza kuimba

"Uyo mtotooooooo, uyo mtotoooooo"

Shemeji no 1: mtoto kautaaa
Mtoto kautaaa

Shemeji no 2: mtoto kautaka mtoto kautaka

Sasa sijaelewa huu wimbo una maana gani maana me sisiskilizagi bongo movie.

Wimbo una maana gani? Nimemwuliza mchumba wangu anacheka

Haya jamani, mtoto wa 2004 anauliza mtoto kautaaaa, manake nini?
Wee nawe na hadithi zako za sungura na fisi
 
Ukifanya maujinga watakustua ni watu,hasa wale wakweli. Kumbuka hapa ni hadharani, huu ujinga ungefanyia kitandani hakuna mtu angesema
Aisee
 
Wee nawe na hadithi zako za sungura na fisi
Ndio zimekuvutia ukaja ku comment
 
😂😂😂😂😄😄😄😄😄!!!

Anapelekewa 🔥🔥 sio😂
Hiyo nyimbo ni maarufu sana...
Nyimbo ya mtoto kautaka...
Namie nautaka wako leooo keshoo lo nishakumis mpaka basi hapaa😌😌😋🥰💋💋💋!
Ushaupata sweetheart, ni wako vile uupendavyo...
Santeee🕺🕺!
 
Back
Top Bottom