Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
-
- #21
Mtoto kautaaaa mtoto kautaaaHahahaaaaa... haya mambo hata mimi sielewi. Ni mageni kabisa
Nasubiri sauti ya kuomba maji.....Biharusi mtarajiwa: Money Penny njoo
Money penny: nimefika mama nini mbaya
Biharusi mtarajiwa: nimetambulishwa leo kwa mashemeji zangu wa kiume kwa mara ya kwanza
Money penny: enhe
Biharusi mtarajiwa: baada ya utambulisho wakaanza kupiga makofi, wakaanza kuimba
"Uyo mtotooooooo, uyo mtotoooooo"
Shemeji no 1: mtoto kautaaa
Mtoto kautaaa
Shemeji no 2: mtoto kautaka mtoto kautaka
Sasa sijaelewa huu wimbo una maana gani maana me sisiskilizagi bongo movie,
Wimbo una maana gani? Nimemwuliza mchumbaangu anacheka
Haya jamani, mtoto wa 2004l2 anauliza mtoto kautaaaa, manake nini?
Ipo youtube nenda kaangalieTuma kwanza picha ya Harusi mtarajiwa
Toa maana bwana acha wengeNasubiri sauti ya kuomba maji.....
Mbona kautaaaa
But still life goes on 🤣🤣🤣Nimekublock umeona?
But still life goes on 🤣🤣🤣
Nina story yangu nikutumie wapi ?Sitampa mwanamke yeyote kichwa kwenye mapenzi tena, nimekoma....
Weekend Imekuwa ndefu Nipo arusha Land Rover festival kuna wakenya wamekuja hapa wana kero zao Mkenya mmoja analalamika kwa wakenya wenzake kuwa Hatompa tena mwanamke yeyote kichwa kwenye mapenzi, alichokutana nacho hatamani mwanaume yeyote afanye hicho kitu Basi me nikapita nikaenda zangu...www.jamiiforums.com
Nina story yangu nikutumie wapi ?
We kama unaona so mbona umekuja ku commentHivi hamuoni so kuandika vitu vya kitoto humu?
AbeeShangazi penny
Eheheheh 🤣 🤣 🤣
Kama mama yako alifokorewa pole, usituletee afya ya akili hapaTulia ufokolewe mtaro.. ndo utajua