Leo nimetambulishwa kwa mashemeji zangu, ghafla wakaanza kuimba "Mtoto kautaka", maana yake nini?

Ukifanya maujinga watakustua ni watu,hasa wale wakweli. Kumbuka hapa ni hadharani, huu ujinga ungefanyia kitandani hakuna mtu angesema
 
we
Wendo mama yangu..sasa kuwa na Adabu we mwenye vitobo 6
 
Wee nawe na hadithi zako za sungura na fisi
 
Ukifanya maujinga watakustua ni watu,hasa wale wakweli. Kumbuka hapa ni hadharani, huu ujinga ungefanyia kitandani hakuna mtu angesema
Aisee
 
Wee nawe na hadithi zako za sungura na fisi
Ndio zimekuvutia ukaja ku comment
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„!!!

Anapelekewa πŸ”₯πŸ”₯ sioπŸ˜‚
Hiyo nyimbo ni maarufu sana...
Nyimbo ya mtoto kautaka...
Namie nautaka wako leooo keshoo lo nishakumis mpaka basi hapaaπŸ˜ŒπŸ˜ŒπŸ˜‹πŸ₯°πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹!
Ushaupata sweetheart, ni wako vile uupendavyo...
SanteeeπŸ•ΊπŸ•Ί!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…