Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 19,644 Reaction score 40,546 Oct 31, 2024 #61 Money Penny said: Abeee Click to expand... Weee huwa napenda nguo yako ya manyoya ujue
Money Penny JF-Expert Member Joined Jun 20, 2016 Posts 17,694 Reaction score 17,131 Oct 31, 2024 Thread starter #62 Poor Brain said: Weee huwa napenda nguo yako ya manyoya ujue Click to expand... Sina hio nguo lkn
Money Penny JF-Expert Member Joined Jun 20, 2016 Posts 17,694 Reaction score 17,131 Oct 31, 2024 Thread starter #63 Poor Brain said: Weee huwa napenda nguo yako ya manyoya ujue Click to expand... Mpenzi wangu anapiga simu kila saa hali anajua nina familia nifanyaje? Wahuniiiiiii Nimewaita mje Mwenzenu ameyainua matanga, akatafuta kimada nje ya ndoa Kimada ni mtoto wa 2000, basi kila saa anataka attention, anamkausha baba wa watu huku Baba anataka msaada afanyaje? www.jamiiforums.com
Poor Brain said: Weee huwa napenda nguo yako ya manyoya ujue Click to expand... Mpenzi wangu anapiga simu kila saa hali anajua nina familia nifanyaje? Wahuniiiiiii Nimewaita mje Mwenzenu ameyainua matanga, akatafuta kimada nje ya ndoa Kimada ni mtoto wa 2000, basi kila saa anataka attention, anamkausha baba wa watu huku Baba anataka msaada afanyaje? www.jamiiforums.com
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 19,644 Reaction score 40,546 Oct 31, 2024 #64 Money Penny said: Sina hio nguo lkn Click to expand... Nilikuona nayo sweta lina manyoya ya pink hivi... Kumbuka
Money Penny said: Sina hio nguo lkn Click to expand... Nilikuona nayo sweta lina manyoya ya pink hivi... Kumbuka
Money Penny JF-Expert Member Joined Jun 20, 2016 Posts 17,694 Reaction score 17,131 Nov 1, 2024 Thread starter #65 Poor Brain said: Nilikuona nayo sweta lina manyoya ya pink hivi... Kumbuka Click to expand... Sijawahi miliki hio nguo bro Bwana wangu ninaekubali kushea na wanawake wengine ni... Kusema ukweli Bwana ninaekubali kushea na wanawake wengine ni YESU KRISTO Huyo ndio pekee nakubali tube wengi kwake Wewe je? www.jamiiforums.com
Poor Brain said: Nilikuona nayo sweta lina manyoya ya pink hivi... Kumbuka Click to expand... Sijawahi miliki hio nguo bro Bwana wangu ninaekubali kushea na wanawake wengine ni... Kusema ukweli Bwana ninaekubali kushea na wanawake wengine ni YESU KRISTO Huyo ndio pekee nakubali tube wengi kwake Wewe je? www.jamiiforums.com