Robert S Gulenga
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,255
- 1,565
Soma katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Zanzibar ni nchi kamili.
-Ina rais wake.
-Ina wimbo wake wa taifa.
-Ina bendera yake
Machogo endeleeni kuzubaa tu, wajinga ndiyo waliwao.
Nchi inazidiwa population na wilaya ya Temeke lakini imetoa rais anayetawala Tanganyika, ina mawaziri kibao na wabunge kwenye bunge lenu, ina members wa baraza la wawakilishi huko kwao, ina mawaziri kwenye baraza lao.
Yaani kwa kifupi(my thoughts) karibu kila kaya ina kiongozi wa kitaifa[emoji848], pesa za kumudu gharama/malipo ya hao viongozi ni kodi zenu machogo.
Serikali mbili my foot[emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Halafu eti Nyerere huwa anasifiwagaZanzibar ni nchi kamili.
-Ina rais wake.
-Ina wimbo wake wa taifa.
-Ina bendera yake
Machogo endeleeni kuzubaa tu, wajinga ndiyo waliwao.
Nchi inazidiwa population na wilaya ya Temeke lakini imetoa rais anayetawala Tanganyika, ina mawaziri kibao na wabunge kwenye bunge lenu, ina members wa baraza la wawakilishi huko kwao, ina mawaziri kwenye baraza lao.
Yaani kwa kifupi(my thoughts) karibu kila kaya ina kiongozi wa kitaifa[emoji848], pesa za kumudu gharama/malipo ya hao viongozi ni kodi zenu machogo.
Serikali mbili my foot[emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Tatizo hawana jeshi hapo ndo kunafanya isiwe nchi kamili.Zanzibar ni nchi kamili.
-Ina rais wake.
-Ina wimbo wake wa taifa.
-Ina bendera yake
Machogo endeleeni kuzubaa tu, wajinga ndiyo waliwao.
Nchi inazidiwa population na wilaya ya Temeke lakini imetoa rais anayetawala Tanganyika, ina mawaziri kibao na wabunge kwenye bunge lenu, ina members wa baraza la wawakilishi huko kwao, ina mawaziri kwenye baraza lao.
Yaani kwa kifupi(my thoughts) karibu kila kaya ina kiongozi wa kitaifa[emoji848], pesa za kumudu gharama/malipo ya hao viongozi ni kodi zenu machogo.
Serikali mbili my foot[emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Huo ndio ukweli,kote kote unatakiwa kitambulisho,ukitoka Zanzibar kuja Dar na ukitoka Dar kwenda Zanzibar.Hii ni kwa ajili ya ajali,ikitokea ajali,watambulike,waliopata ajali ni kina nani,majina yao,wanakotoka,na Picha zao.@Kikwajuni One kasema sahihi, kote kote unaulizwa hata ukienda tiketi ya meliupande wa zenji lazima uulizwe kitambulisho, unless uwe unapanda haya majahazi hayo ndio hamna hizo mambo.
Ukishazinduka kutoka usingizini unakoota ndoto za Urusi amka ukakojoe so that you face the realities on the ground, the painful realities that affect your daily life si huo upuuzi wa Urusi usio na impact yoyote katika maisha unayohangaika nayo kila uchwao.Ukimaliza hapo, nenda kajifunze muungano wa Chechnya ndani ya Urusi, Toka Tena ukajifunze Nafasi ya Buryat ndani ya Urusi.
Halafu huje hapa ukiwa na akili timamu.
Machogo ndio nini?Zanzibar ni nchi kamili.
-Ina rais wake.
-Ina wimbo wake wa taifa.
-Ina bendera yake
Machogo endeleeni kuzubaa tu, wajinga ndiyo waliwao.
Nchi inazidiwa population na wilaya ya Temeke lakini imetoa rais anayetawala Tanganyika, ina mawaziri kibao na wabunge kwenye bunge lenu, ina members wa baraza la wawakilishi huko kwao, ina mawaziri kwenye baraza lao.
Yaani kwa kifupi(my thoughts) karibu kila kaya ina kiongozi wa kitaifa[emoji848], pesa za kumudu gharama/malipo ya hao viongozi ni kodi zenu machogo.
Serikali mbili my foot[emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Hajitambui huyo, kuna watu wanajaribu kulazimisha vitu visivyo sawa vidhaniwe viko sawa kwakuwa tu wao wanafaidika navyo.Acha utani
Fika Mchamba wima, Makunduchi au Wete then usikilizie utaitwa jina gani then uje utupe mrejesho.Machogo ndio nini?
Majitu meusi sijui vichwani tuna nini, watu wenye akili timamu kima Marcus Garvey, Kwame Nkrumah, Mandela walipambana kutuunganisha watu weusi tuwe kitu kimoja alafu mnakuja kuibuka wasengerema wachache weusi mnabaguana kwa sababu za kitoto. Ma-watu meusi kweli hatu dhaminikiFika Mchamba wima, Makunduchi au Wete then usikilizie utaitwa jina gani then uje utupe mrejesho.
Unamwekaje Nyerere kwenye hayo mkuu, yeye hayo yaliyoorodheshwa hapo hakuyafanya. Hebu jaribu kujiongoza kidogo ili ujue haya yalitokea wakati gani.Halafu eti Nyerere huwa anasifiwaga
Wewe ni mwongo, tena asiyejua kusema uongo!Nilikuwa na trip yangu ya dharula kwenda Unguja, baada ya kufika bandari kivukoni, nikaenda kata ticket nikaulizwa ID kujipiga Sachi nimevisahau.
Nikawaambia nina namba ya NIDA wakasema hawaitambui wanataka ID tu,
Nikasema isiwe case kwa kuwa ni dharula I must go, nikaenda Kisutu nikapewa Barua ya uthibitisho nikapanda boti, nafika zenji bandarini nikaonyesha Barua, wakaivuta wakaitoboa toboa kwamba hawaitambui, nikawaambia Nina NIDA No.
Wakaichukua kuicheki wakanirudishia Barua, wakaniambia pita. Ila wakasema hawaitambui Barua ya mahakama kuu , wanachotambua wao ni NIDA tu.
Nimejiuliza maswali mengi sana, Hilo limenitokea Mimi at least nina ufahamu hao Watanzania mil 20 plus wasio naufahamu Nani anawasema juu ya hili?
Ukaguzi bandarini,jirekebisheni both Tanzania mainland na Tanzania island
Tanganyika iko wapi? Mbona siioni kwenye ramani au Google maps?Sijui atatokea wapi kiongozi atakaye tutoa tongotongo katika haya.mambo ya ajabu ajabu
Mbona hawa wenzetu tokea Znz wana enjoy life sanaa hapa main land,
viongozi ifike pahalaa watambue sasa ivi upande wa Tanganyika watu tuna maswali kwao ya wana tukimbia kutujibu
Msengerema ni wewe, baba yako mzazi na mama yako mzazi.Majitu meusi sijui vichwani tuna nini, watu wenye akili timamu kima Marcus Garvey, Kwame Nkrumah, Mandela walipambana kutuunganisha watu weusi tuwe kitu kimoja alafu mnakuja kuibuka wasengerema wachache weusi mnabaguana kwa sababu za kitoto. Ma-watu meusi kweli hatu dhaminiki
Mshamba wewe f...uc.,kin w,horeMsengerema ni wewe, baba yako mzazi na mama yako mzazi.
Marcus Garvey na Kwame Nkrumah uliwahi kuwaona au kuwasikia personally? Na wanaolalamika kuwa Mandela aliwageuka blacks akawa sellout una nini cha kuwajibu?
It's so low ku-panic na kuanza kutukana watu usiowajua kwa sababu tu maoni yao hayawiani na ya kwako.
Machogo wajinga sana, ila mi babaako ni Chogo pia halafu we mwana utakua nani?Zanzibar ni nchi kamili.
-Ina rais wake.
-Ina wimbo wake wa taifa.
-Ina bendera yake
Machogo endeleeni kuzubaa tu, wajinga ndiyo waliwao.
Nchi inazidiwa population na wilaya ya Temeke lakini imetoa rais anayetawala Tanganyika, ina mawaziri kibao na wabunge kwenye bunge lenu, ina members wa baraza la wawakilishi huko kwao, ina mawaziri kwenye baraza lao.
Yaani kwa kifupi(my thoughts) karibu kila kaya ina kiongozi wa kitaifa[emoji848], pesa za kumudu gharama/malipo ya hao viongozi ni kodi zenu machogo.
Serikali mbili my foot[emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Una-panic kitu gani Chogo, oops first kuna mtu kaku-point kuwa wewe ni chogo au ndiyo umeamua kujibatiza?Machogo wajinga sana, ila mi babaako ni Chogo pia halafu we mwana utakua nani?
CHOGO
endeleeni kukuna pumbu,siku muungano ukiisha nyie ******* tutawapokea km wakimbizi toka ethiopia.
Hamna chochote hapo zaidi ya bahari.
Ndo mana mnakufa kwa kufakamia makobe yenye sumu
Machogo tunawapakata na kuwalisha nyie wala tende.Una-panic kitu gani Chogo, oops first kuna mtu kaku-point kuwa wewe ni chogo au ndiyo umeamua kujibatiza?
Secondly vipi ikigeuka wewe ndiyo ukawa mkimbizi ukapokelewa kama mkimbizi kutoka Burundi.
Last but not least unajuaje upande wa this so called 'jamuhuri' nitokeapo mimi?
Kwahiyo basi Tanganyika inatawaliwa na Zanzibar. Maana Tanganyika haina vitu vyote hivyo ulivyovitaja, hivyo ni vya TanzaniaKama ndo ivo nioneshe picha ya pesa, gwanda za jeshi lao,hati yao y kusafiria. Tuanzie hapo kwanza
Katiba mbili tofauti kwenye nchi mbili tofauti kwenye Muungano tofauti.Nilikuwa na trip yangu ya dharula kwenda Unguja, baada ya kufika bandari kivukoni, nikaenda kata ticket nikaulizwa ID kujipiga Sachi nimevisahau.