Leo, nimethibitisha kwamba Zanzibar ni nchi inayojitegemea

Na Mikoa karibu kumi na majimbo zaidi ya 50 yenye wabunge Wawili Wawili yaani wawakilishi na wabunge la Jamhuri.
Halafu nchi ni maskini inahitaji Kupiga kopo la misaada.
 
Reactions: Qwy
Wakati tunakwenda Zenj kwa passport ulikuwa hujazaliwa?
 
Pamoja na kuwa na serikali ila hao mawaziri kiitifaki wanawakilisha jamhuri kwenye masuala ya kimataifa?!
Au wanafurahia tu kuwa na service passports?!
Mara ya mwisho kusikia Rais wa Zanzibar kwenda nje ilikua safari ya Mozambique nadhani as a special envoy wa mama samia maana yake bila hiyo trip nisingemsikia.
Swala la tanganyika kutokua na serikali nadhani ndio mnakaririshwa, hii serikali mnayoiona ndio ya “machogo”
1. Inaakua rais wenu awe nani
2. Inaamua sauti yenu kimataifa iweje
3. Inaamua security protocols zote kuanzia Rais wenu mpaka mwananchi wa kawaida
4. Inaamua akina “Jecha” wasemeje
Nk nk nk

In summary
Tanzania ndio tanganyika
 
Ushawahi kutoka Zanzíbar kuja bara bila ya kitambulisho?
Siyo lazima kuonyesha ujinga wako hapa.

a) Zanzibar, tiketi unakata kwa ID, kabla ya kuingia lounge unaonyesha ID, aya umefika Dar port umeshuka unaonyesha kwengine?.

b) Dar tiketi jwa ID, kuingia lounge tiketi na ID umefika zanzibar kutoka onyesha ID tena National ID tu vinginevyo uwe na magwanda ya jeshi utapita bila usumbufu kama una sijui nna barua hapa hatuitambui rudi kwenyu.

So angalia tofauti niliyoainisha mwanzo na 🚮 uliyoreply for my comment.
 
Na ukikatwa mkono itakuaje.
 
Vipi mkuu ikitokea Kwa mfano ulikuwa umesajiliwa Kwa njia ya vidole na Kila sehemu huduma inatolewa Kwa vidole vyako ukapata ajali na vidole vyako vyote vikakatika itakuwaje kwenye kupata huduma mkuu?
 
Swali la msingi ni kukata tiketi Kwa ID , huo WEREVU wako wa kwenye swali lako ndo nikakuuliza vile. Sasa kama Sheria ni mbovu basi ieleweke vivyo (na baadhi ya wafanyakazi wanatumia Chaka hilo )
 
Akili zetu zipo kuumizana tu mkuu....
 
Dharura siyo "dharula".

Ikiwa wewe mwenye ufahamu hata kuandika dharura hauelewi, sasa hao wasio na ufahamu nawafikiria. Majanga.
 
Pitifully consoling yourself, what an absurd wishful thinking.
-Unaongozwa na rais wa nchi ya Zanzibar bado unasema wewe ndiyo mwenye maamuzi ya mwisho whilst akifanya atakacho kwa maslahi atakayo hauna uwezo wa kumfanya chochote zaidi ya kulalamika mitandaoni, being ruled by a president from a foreign land of Zanzibar yaani hilo tu haliingii akilini.
-For your information ruling party hierarchy ndiyo hukupangia nani awe rais hivyo kujiliwaza eti 'mnaamua' nani awe rais ni ujinga uliokithiri.
 
Na Mikoa karibu kumi na majimbo zaidi ya 50 yenye wabunge Wawili Wawili yaani wawakilishi na wabunge la Jamhuri.
Halafu nchi ni maskini inahitaji Kupiga kopo la misaada.
Ni ukosefu wa akili uliopitiliza, huu upuuzi una-cost sana.
Umasikini wa 'akili' ndiyo unaligharimu taifa, hebu imagine hapo how much can be saved ikitumika akili kidogo tu.
 
Kwahiyo basi Tanganyika inatawaliwa na Zanzibar. Maana Tanganyika haina vitu vyote hivyo ulivyovitaja, hivyo ni vya Tanzania
Tanganyika haina chochote, bora Zenji wana national anthem, bendera na rais wao na wana rais mwingine anayetawala machogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…