Mkuu unamkumbuka “Marehemu Mzee Abood Jumbe”?Pitifully consoling yourself, what an absurd wishful thinking.
-Unaongozwa na rais wa nchi ya Zanzibar bado unasema wewe ndiyo mwenye maamuzi ya mwisho whilst akifanya atakacho kwa maslahi atakayo hauna uwezo wa kumfanya chochote zaidi ya kulalamika mitandaoni, being ruled by a president from a foreign land of Zanzibar yaani hilo tu haliingii akilkni.
-For your information ruling party hierarchy ndiyo hukupangia nani awe rais huyo kujiliwaza eti 'mnaamua' nani awe rais it's rubbish.
Mchonga was a different case, utawala wake hauwezi kutumika kama reference kwa mazingira ya sasa.Mkuu unamkumbuka “Marehemu Mzee Abood Jumbe”?
Hiyo tu ikuoneshe Tanzania ndio Tanganyika
Hoja ya raia wa Zanzibar kuwa Rais wa Tanzania hakuna shida kwa sababu hakuna effect yoyote maana tunaona mpaka makatibu tawala wanatoka viziwani kwa hilo usiwe na shaka. Hata mkuu wa majeshi mnaweza kutoa huko nchi ya Zanzibar ila pamoja na kumiliki jeshi hatogusa kitu kinaitwa utengano wa Zanzibar na Tanganyika ( usisahau Tanganyika ndio Tanzania)
Nilitaka tu kukusahihisha “machogo” wanajua nini kinaendelea hawaishi tu kama ng’ombe kama mnavyoaminishwa visiwani
Pamoja na Kuwa na Rais wa Zanzibar, national anthem na bendera. Unahisi vinatambulika huko nje au ni kisiwa ndui/jambiani/mchamba wima na mwisho bandari ya salama?!Tanganyika haina chochote, bora Zenji wana national anthem, bendera na rais wao na wana rais mwingine anayetawala machogo.
Nadhani mwanzo ulitumia lugha ya kukera kwa wale wasio waumini wa mtizamo wako.Mchonga was a different case, utawala wake hauwezi kutumika kama reference kwa mazingira ya sasa.
Swali langu ni kwanini kusitafutwe aina ya muundo wa muungano ulio balanced, kikwazo ni nini?
Mkongwe Upo, ninyi watu wa zama na zama za jfNa sasa Ndugu yao ndiyo kaishika nchi tutegemee makubwa zaidi ya Kustaajabisha na hata Kutukwaza nayo pia.
Atakuita chogo huyo ni mjinga,kuwa na chogo kuko kote kote,Zanzibar na Tanzania bara.Waataalamu wa maradhi ya usonjo,wanasema ,dalili ya mgonjwa wa usonjo,nikutokuwa na chogo,wanakuwa na kichwa bapa.Fika Mchamba wima, Makunduchi au Wete then usikilizie utaitwa jina gani then uje utupe mrejesho.
Hii ardhi tunayoiita Tanganyika, pamoja na Rwanda, Burundi, Uganda, Kongo, Mozambique, Kenya, Somalia,zote zilikuwa Zanzibar kabla ya ujio wa Mzungu Afrika Mashariki na kuanza kutugawa ili atutawale.
Tuiheshimu sana Zanzibar, kuweza kubaki kuwa nchi toka enzi na enzi japo iliporwa kwa mabavu himaya yake kubwa sana, iliyobaki ni historia njema kwa waipendayo.
Realistically, nyie "machogo" ni Wazanzibari kiasili, maana huku bara kote ni Zanzibar, mnatakiwa mheshimu sana utawala wa Zanzibar, ndiyo utawala wenu wa asili, siyo huu aliowagawa wazungu na nyinyi mnachekelea.
Anza kwa kukiheshimu Kiswahili. Unaijuwa hii ramani?Kwaiyo tuheshimu utawala wamasurtani?
Hivyo vya nini wakati wao ni wakoloni watawala wa tanganyika? Vyote ni vyao, uliza vya tanganyika uoneshwe kama vipo. Hatuna rais, bunge wala mahakama. Hatuna wimbo, katiba wala uraia wa tanganyika. Umemsikia bi mkumbwa akijiita yeye mzanzibari, ulimsikia nani zaidi ya mtikila akilazimisha kujiita mtanganyika? Tumeuzwa na tunatawaliwa na wazanzibari mpaka inakera. Wanatutungia hadi sheria, wasizozitaka kwao na 'wenzetu yao ni kupiga makofi tu. Inasikitisha.Kama ndo ivo nioneshe picha ya pesa, gwanda za jeshi lao,hati yao y kusafiria. Tuanzie hapo kwanza
Kuna Ubaya gani kujiita,Muarusha,kujiita MTanga,kujiita Mkigoma,Kujiita Mtabora nk.Na ndio hivyo hivyo pia waweza kujita Mzanzibari.Hivyo vya nini wakati wao ni wakoloni watawala wa tanganyika? Vyote ni vyao, uliza vya tanganyika uoneshwe kama vipo. Hatuna rais, bunge wala mahakama. Hatuna wimbo, katiba wala uraia wa tanganyika. Umemsikia bi mkumbwa akijiita yeye mzanzibari, ulimsikia nani zaidi ya mtikila akilazimisha kujiita mtanganyika? Tumeuzwa na tunatawaliwa na wazanzibari mpaka inakera. Wanatutungia hadi sheria, wasizozitaka kwao na 'wenzetu yao ni kupiga makofi tu. Inasikitisha.
Khaa Bibi Faiza, yatosha sasa
Wamekuuliza nida tu sio passport. Kule ni semi autononomous part of the united republic bhana.Nilikuwa na trip yangu ya dharula kwenda Unguja, baada ya kufika bandari kivukoni, nikaenda kata ticket nikaulizwa ID kujipiga Sachi nimevisahau.
Nikawaambia nina namba ya NIDA wakasema hawaitambui wanataka ID tu,
Nikasema isiwe case kwa kuwa ni dharula I must go, nikaenda Kisutu nikapewa Barua ya uthibitisho nikapanda boti, nafika zenji bandarini nikaonyesha Barua, wakaivuta wakaitoboa toboa kwamba hawaitambui, nikawaambia Nina NIDA No.
Wakaichukua kuicheki wakanirudishia Barua, wakaniambia pita. Ila wakasema hawaitambui Barua ya mahakama kuu , wanachotambua wao ni NIDA tu.
Nimejiuliza maswali mengi sana, Hilo limenitokea Mimi at least nina ufahamu hao Watanzania mil 20 plus wasio naufahamu Nani anawasema juu ya hili?
Ukaguzi bandarini,jirekebisheni both Tanzania mainland na Tanzania island
Muungano wanafaidi zaidi WaZanzibar bora ungevunjiliwa mbali ha tuna faida naoNilikuwa na trip yangu ya dharula kwenda Unguja, baada ya kufika bandari kivukoni, nikaenda kata ticket nikaulizwa ID kujipiga Sachi nimevisahau.
Nikawaambia nina namba ya NIDA wakasema hawaitambui wanataka ID tu,
Nikasema isiwe case kwa kuwa ni dharula I must go, nikaenda Kisutu nikapewa Barua ya uthibitisho nikapanda boti, nafika zenji bandarini nikaonyesha Barua, wakaivuta wakaitoboa toboa kwamba hawaitambui, nikawaambia Nina NIDA No.
Wakaichukua kuicheki wakanirudishia Barua, wakaniambia pita. Ila wakasema hawaitambui Barua ya mahakama kuu , wanachotambua wao ni NIDA tu.
Nimejiuliza maswali mengi sana, Hilo limenitokea Mimi at least nina ufahamu hao Watanzania mil 20 plus wasio naufahamu Nani anawasema juu ya hili?
Ukaguzi bandarini,jirekebisheni both Tanzania mainland na Tanzania island
Bora wewe umeuelewa uhalisia, Tanganyika si tu kwamba inatawaliwa bali imemezwa kabisa na haipo wala haitambuliki.Hivyo vya nini wakati wao ni wakoloni watawala wa tanganyika? Vyote ni vyao, uliza vya tanganyika uoneshwe kama vipo. Hatuna rais, bunge wala mahakama. Hatuna wimbo, katiba wala uraia wa tanganyika. Umemsikia bi mkumbwa akijiita yeye mzanzibari, ulimsikia nani zaidi ya mtikila akilazimisha kujiita mtanganyika? Tumeuzwa na tunatawaliwa na wazanzibari mpaka inakera. Wanatutungia hadi sheria, wasizozitaka kwao na 'wenzetu yao ni kupiga makofi tu. Inasikitisha.
Machogo kuna ujumbe wenu huku, darsa hili mnaelimishwa free of charge.Hii ardhi tunayoiita Tanganyika, pamoja na Rwanda, Burundi, Uganda, Kongo, Mozambique, Kenya, Somalia,zote zilikuwa Zanzibar kabla ya ujio wa Mzungu Afrika Mashariki na kuanza kutugawa ili atutawale.
Tuiheshimu sana Zanzibar, kuweza kubaki kuwa nchi toka enzi na enzi japo iliporwa kwa mabavu himaya yake kubwa sana, iliyobaki ni historia njema kwa waipendayo.
Realistically, nyie "machogo" ni Wazanzibari kiasili, maana huku bara kote ni Zanzibar, mnatakiwa mheshimu sana utawala wa Zanzibar, ndiyo utawala wenu wa asili, siyo huu aliowagawa wazungu na nyinyi mnachekelea.
Huwa inapendeza pale mja anakuwa brainwashed na 'kujaa' mzimamzima.W
Wamekuuliza nida tu sio passport. Kule ni semi autononomous part of the united republic bhana.
Lugha ya kukera ndiyo huleta concentration otherwise mtu anapitia comment/post and within a second anasahau, bora akerwe kidogo ili ikibidi arudie mara mbilimbili kuusoma ujumbe.Nadhani mwanzo ulitumia lugha ya kukera kwa wale wasio waumini wa mtizamo wako.
Muungano kwa sasa kama unatakiwa, unatakiwa kuwa wa bottom-up. Kwamba wenye maamuzi wa namna gani ya muungano uwe ni wananchi
Japo binafsi nakubaliana na rasimu ya jaji warioba kuhusu serikali tatu (federation) na namna ya kuziendesha.