Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Mi natimiz 15 yrs Mwezi ujao. Hongera sana mhenga mwenzanguNamshukuru Mungu aiseee, nimekua hapa kwa miaka 15 sasa, wengi tulioanza nao wametangulia mbele za haki na wengine wamebadli ID. Ni jambo jema sana kwangu. Ni siku pia yenye matukio mengine makubwa ya kibinafsi.
Asanteni kwa Marafiki wapya na connections za kutosha. Long Live JF.
Kama una jambo ungependa kuuliza, karibu.