Leo nimetimiza miaka 15 ndani ya JF

Mi natimiz 15 yrs Mwezi ujao. Hongera sana mhenga mwenzangu
 
Swali : Je waliotangulia mbele za haki uliwezaje kuwatambua ukizingatia Kila mtu Ana Id yake ya Siri na wengine wanatumia I’d fake?
 
Swali : Je wametangulia mbele za haki uliwezaje kuwatambua ukizingatia Kila mtu Ana Id yake ya Siri na wengine wanatumia I’d fake?
Wote hao walikua wanatumia hizo hizo ID. @Rejia Mtema alikua mbunge wa Chadema viti maalum, Mohamedi Mtoi alikua kiongozi wa Chadema na mgombea Ubunge - Lushoto doto mnzanva alikua hapa JF. Kwahio walitumia ID hizo japo naona kama vile Sasa hivi zimekua disabled
 
Swali: uliwezaje kufikia Platinum Member hapa Jf? Ni kwa kuwepo Jf kwa miaka 15 au ?
Ni nini sifa Za kuweza kufikia Platinum Member?
 
Swali: uliwezaje kufikia Platinum Member hapa Jf? Ni kwa kuwepo Jf kwa miaka 15 au ?
Hapana, Platinum membership inatakiwa uilipie! Miaka ile kulikua na Bronze 🥉 na Gold 🪙 ila waliondoa na kuweka hio Platinum ambapo unalipia ONCE kiasi cha shilingi za Kitanzania 100,000 tu
 
Hapana, Platinum membership inatakiwa uilipie! Miaka ile kulikua na Bronze 🥉 na Gold 🪙 ila waliondoa na kuweka hio Platinum ambapo unalipia ONCE kiasi cha shilingi za Kitanzania 100,000 tu
Swali: Nikiwa Tayari kulipia Tsh 100,000 Leo nitalipia kwa njia gani Ili iwafikie Jf Ili kulinda Id yangu?
Je nikilipia leo nitakuwa Platinum Member lini?
Je Platinum Member anafaidika nini na Jf zaidi ya members wengine?
Je Platinum Member huwa nao wanapiga Ban kama sisi wa kawaida?
 
Nadhani ipo thread ya namna ya kulipia Mpwa. Kuna namba ya simu unatuma ila unatuma PM kwa Moderators, pili, as far as I remember hakuna faida kubwa zaidi TU ya kuwaunga mkono JF, members wote wanaweza kupigwa BAN regardless ya status yako maadam umekiuka masharti, tabia na mienendo inayotakiwa ya JF.

Ukilipa Leo na ukawasiliana na Uongozi ni muda huo huo tu unakua na badge ya platinum
 
Ubarikiwe kwa majibu yaliyo nyooka
 
Hongera halafu jamaa unaonekana mtu poa sana.Ingawa sina uhakika.Hongera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…