Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Kwamba hukuwa na Technique za kuimbisha jukwaaniKwa miaka ile hakukua hata na PM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba hukuwa na Technique za kuimbisha jukwaaniKwa miaka ile hakukua hata na PM
Zilikua nyakati nzuri sana sana! Shukrani KakaNimebadili ID mara sita sasa ila ningekuwa mkongwe sana ikiwa ningebaki na ID ya mwanzo .
Nimezikumbuka zile nyakati ambazo kukomenti hapa jamvini ilikuwa ni lazima utafakari ni nini unataka kuandika ,je una uhakika?
Kipindi ambacho usingeweza kumbeza yeyote kwa mchango wake ,kipindi ambacho kujibizana kwa hoja na wale walioko kwenye mfumo wa serikali ilikuwa ni kawaida sana.
All in all ya kale ni dhahabu , but hongera sana ndugu Elli
Hakika nduguHongera sana, mimi mwaka wa kumi huu, mabadiliko ni mengi sana siku hizi si kama enzi zile
Swali langu ni je, kwa hiyo miaka 15 uliyokuwemo humu JF, umeifanyia nini JF kuifanya iwe bora zaidi?Namshukuru Mungu aiseee, nimekua hapa kwa miaka 15 sasa, wengi tulioanza nao wametangulia mbele za haki na wengine wamebadli ID. Ni jambo jema sana kwangu. Ni siku pia yenye matukio mengine makubwa ya kibinafsi.
Asanteni kwa Marafiki wapya na connections za kutosha. Long Live JF.
Kama una jambo ungependa kuuliza, karibu.
Swali zuri sana. Naomba nitaje mambo mawili tu ninayokumbuka.Swali langu ni je, kwa hiyo miaka 15 uliyokuwemo humu JF, umeifanyia nini JF kuifanya iwe bora zaidi?
Hongera mkuu, unastahili kusherehekea.Swali zuri sana. Naomba nitaje mambo mawili tu ninayokumbuka.
1. Uanzishwaji wa Jukwaa la JF photo,
2. Ku-organize na kusimamia Safari ya Wana JF kutembelea Wagonjwa pale Ocean Road Hospital.
Hili la pili ndio kubwa saaana kwangu!
Those days hahahahaha ilikua Bomba sana saàna, baadhi tulifahamiana kama dada Asnam na wengine, tulipiga picha kabisa, tulianza kukutana pale ufukweni tukapanga mizigo yetu na tukapiga picha.Hongera mkuu, unastahili kusherehekea.
Ila nina swali lingine la kizushi, hapo kwenye kuratibu safari ya wana JF kutembelea wagonjwa pale Ocean road, je mlikutana? Na mkatambulishana? Manake najaribu tu kuwaza siku nakutana na mtu kama Mpwayungu village sijui itakuwaje..[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaweza kukuta Mpwayungu ni bonge la Mchungaji hahahahhahHongera mkuu, unastahili kusherehekea.
Ila nina swali lingine la kizushi, hapo kwenye kuratibu safari ya wana JF kutembelea wagonjwa pale Ocean road, je mlikutana? Na mkatambulishana? Manake najaribu tu kuwaza siku nakutana na mtu kama Mpwayungu village sijui itakuwaje..[emoji23][emoji23][emoji23]
Aione Invisible Maxence Melo Paw Asha D Abinallah hahahaMara chache mno, sidhani kama inafika kumi, maybe Tano hivi. Sina kumbukumbu
Hongereni sana wakuu.Those days hahahahaha ilikua Bomba sana saàna, baadhi tulifahamiana kama dada Asnam na wengine, tulipiga picha kabisa, tulianza kukutana pale ufukweni tukapanga mizigo yetu na tukapiga picha.
Baadae tukaenda kupata kinywaji kwa pamoja kwa hisani ya Maxence Melo . Ule Uzi siukumbuki jina
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaweza kukuta Mpwayungu ni bonge la Mchungaji hahahahhah
Una sh ngapi?Nisaidie kujua nami ni miaka mingapi
Hapahapa?Itaje…
Ukipatia nakununulia bapa 2