Walikuepo akina
Mtambuzi Malaria Sugu huyu alikua mkorofi sana (CCM) na jeuri nadhani alipigwa network ban,
zumbemkuu MANI Regia Mtema (R.I.P)
Mohamedi Mtoi (R.I.P) na wengine wengi. Tulikua kama ndugu. Members wengi hapo tulifahamiana baadae, Mpwa
Mentor alivuma na shairi lake la Inside Verossa kiasi kwamba lilipostiwa kwenye platforms nyingine nyingi.
Topics zilikua very hot, [emoji91] hakukua na utoto sana ukilinganisha na sasa. Miaka ile JF ilionekana ya watu Fulani ambao upstairs walikua "vizuri". JF ilikua kama think tank ya TAIFA.
Machache kwa sasa