Leo nimetongozwa na binti mdogo tu, imenikumbusha sana ujana wangu

Leo nimetongozwa na binti mdogo tu, imenikumbusha sana ujana wangu

Kutongozwa si tatizo. Tatizo ni jibu lako la ........ "asante"
Dada yako naye ajibu vipi akiambiwa nakupenda au umependeza?.

Kwani wanaume tunajibu vipi wakulungwa?
 
Dah.....Moja ya changamoto yangu ni hii, wabinti wanavutiwa sana na mm lakini ,dah mm navutiwa sana na mrembo fulani bahati mbaya mrembo hanitaki tena
Yaani acha tu mkuu, me zamani wanawake walikuwa wanasema naringa, nina dharau,najiskia nk. Kumbe walikuwa hawawezi kuniingia kunichana makavu ila baadhi yao waliweza ndio hao waliokuwa wananitongoza mara kwa mara.
 
Brother zamani yako ndo sasa yangu,
Ubaya wanawake wanapagawika sana na sura,anyway nijiepushe kuambiwa chai shortly nimeruka viunzi vingi, ubaya ni kwamba yule nimpendaye hanielew kwanza muonekano wangu, afu anahisi sijatulia kwasababu ya muonekano,
Sasa hawa wengine watoto ,wamama wadada ,dah namshukuru Mungu sipend sana chini napenda KWA kiasi
 
Nilikoshinda hupajui mkuu, pataje nikupe laki sasa hivi
Si hiyo au?

IMG-20170928-WA0025.jpg
 
U
Kutongozwa si tatizo. Tatizo ni jibu lako la ........ "asante"
Dada yako naye ajibu vipi akiambiwa nakupenda au umependeza?.

Kwani wanaume tunajibu vipi wakulungwa?
Ushawahi tongozwa na mtu na rafiki yake au na dada mtu na mdogo ,

Au mama mwenye nyumba ilihari ni mke wa mtu ,au boss wako ....👨🏽👨🏽😀😀
Ombea isikukute
 
Back
Top Bottom